Search This Blog

Wednesday, March 20, 2013

NANI ANAMKUMBUKA HUYU JAMAA NILIYESIMAMA NAYE.

PIA TUAMBIE NI TUKIO LIPI LINALOKUFANYA UMKUMBUKE....

4 comments:

  1. HUYO NI SAID SUED (SCUD), MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA.
    TUKIO NINALOKUMBUKA NI KUWA KTK LIGI 1991 ALIIFUNGA SIMBA GOLI MOJA KTK MECHI ZOTE MBILI ZA LIGI HIYO.

    ReplyDelete
  2. Huyo ni Said Sued Squd muuaji wa simba katika mechi mbili mfululizo wa goli moja moja. Ametokea kigoma na sasa yupo kigoma

    ReplyDelete
  3. huyo ni Said Sued Scud. Tukio ninalolikumbuka ni kuiffunga Simba mechi zote mbili goli moja moja. Pia atakumbukwa mtangazaji Omar Jongo wakati anatangaza goli la mechi ya pili, alisema 'Ni yule yule wa May 18, Said Sued Scud'. Sikumbuki mechi ya pili ilichezwa lini lakini ya kwanza ni May 18 1991.

    ReplyDelete