Search This Blog

Friday, March 1, 2013

JERRY SANTO NJE WIKI SITA - AUMIA MGUU AFUNGWA BANDAJI NGUMU

Mchezaji tegemeo wa Coastal Union ya Tanga Jerry Santo akiwa nauguza majeraha ya mguu aliyoyapata hivi karibuni ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa wiki sita kama ilivyoripotiwa na klabu yake.

No comments:

Post a Comment