Search This Blog

Friday, February 8, 2013

CHAMSHA BONGO! NITAJIE HUYU JAMAA NILIYESIMAMA NAYE,UKIWEZA PIA MUELEZEE KIDOGO NAMNA UNAVYOMKUMBUKA.

8 comments:

  1. Anaitwa Mbuyu Yondani ni baba yake mdogo na Kelvin Yondani kutoka Mwanza, aliwahi kuchezea Simba na Pamba ya Mwanza

    ReplyDelete
  2. Mbuyi Yondani... Mzee wa mashuuuut

    ReplyDelete
  3. Huyu ni Mbuyi Yondani. Ni mchezaji wa zamani wa Coop United na Bora za Mwanza, Reli Morogoro na Simba. Ni baba yake mdogo na Kelvin Yondani. Kaka yake Neru Yondani aliwahi kuwa golikipa wa Yanga. Kaka yake mwingine Patrick Yondani naye aliwahi kucheza mpira Mwanza na ndiye baba mzazi wa Kelvin Yondani.

    ReplyDelete
  4. Anaitwa mbuyi yondani aka figher, kakipiga sana pale reli morogoro sasa ni mchezaji wa mwanza starehe veterani.

    ReplyDelete
  5. Sas Mbuyi Yondani ni yupi kati ya hoa wawili? Maana naona wote ni kama maveterani fulani

    ReplyDelete
  6. duh kumbe ndo mbui huyu nilikuwa namsikia tu redioni miaka hiyo anapasia kamba km hana akili nzuri pale reli.tutafutie na yule pacha wake david mihambo

    ReplyDelete
  7. Ni Mbuyi Yondani namkumbuka akiwa Reli Moro na mwenzake ni Shaffi Dauda nashangaa wadau wanasoma blog yake bado hawafahamu mwenyewe ni yupi jamani watz tuwe wadadisi inginevyo nasi tutashindwa kujitambua ktk picha,aibu!

    ReplyDelete