|
Lionel Messi - Kiboko asiyeshindika |
|
Wapinzani |
|
Kocha Bora wa Mwaka Vicente Del Bosque |
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi ametwaa tuzo ya uchezaji bora wa dunia kwa mara ya nne mfululizo akiwafunika Cristiano Ronaldo na mchezaji mwenzie wa Barcelona Andres Iniesta katika sherehe za tuzo hizo zilizofanyika muda mfupi uliopita huko nchini Uswisi.
|
Timu bora ya Mwaka |
Wakati huo huo ligi kuu ya Spain La liga imetoa wachezaji wote wanaounda kikosi cha FIFA cha mwaka 2012. Barcelona na Real Madrid wakitoa wachezaji watano kila timu moja, huku Atletico Madrid wakitoa mchezaji mmoja.
Ronaldo na Messi wakivunja rekodi ya kuwemo kwenye kikosi hicho kwa mara 6 mfululizo. Casillas ameingia mara 5.
Wachezaji wanaounda timu hiyo ni -
Goalkeeper: Iker Casillas
Defenders: Dani Alves, Gerard Pique, Sergio Ramos, Marcelo
Midfielders: Xabi Alonso, Xavi Hernandez, Andres Iniesta
Forwards: Lionel Messi, Radomel Falcao, Cristiano Ronaldo
Hilo ndo soka mungu amlinde na aendelee zaidi kufanikiwa keep it up Mesiiiiiiii!?!!!!!!!(Ismael Kibona)
ReplyDeletebado uulize ligi ipi bora
ReplyDeletemi nadhan ligi bora ni epl ila timu bora zawezakuwa ni real madrid na barca labda.
Deletemjomba EPL wakati hawajatoa hata mchezaj mmoja kweny team of the year you cant be seriouz
DeleteTutofautishe ligi bora na Ligi maarufu jamani hivyo ni vitu viwili tofauti.EPL ni ligi Maarufu kwa sababu watu wengi wamezoea kuiangalia but La Liga ndio ligi Bora na imejidhihilisha kwenye hiyo timu ya FIFA.
Deletebado uuliz ligi ipi bora, 3 contestants la liga, timu of the year la liga
ReplyDeleteSijafurahia Messi kupewa hii tuzo this tyme! Wenye kufikiria kiwepesi wataanza kufikiria kiwepesi, utasikia kwani Messi hajui.....Ninachojua mchezaji hupata tuzo hii kutokana na perfomance katika mwaka husika! Hakuna ubishi na talent ya Messi kila mtu anajua uwezo wake, lakini tuzo hii si ya kuchagua nani mwenye talent bali ni perfomance husika na baadhi ya vigezo! Lakini pia kama ingekuwa talent pekee basi tungesubiri Messi astaaafu soka ndio tuanze kuchagua tena maana kwa sasa hakuna anayemfikia, lakini kwa kuwa sivyo ndio maana kila mwaka wanachagua!
ReplyDeleteThe only thing imembeba Messi ni hyo record ya magoli, lakini vp kuhusu mtu aliyechangia kupata World Cup na Euro???
Hii si mara ya kwanza FIFA kuwa na mahaba ama mvuto na watu ambao wanaonekana kama icon ya football......Sikatai soka ni biashara na Messi ni kila kitu sasa hv lakini tuwafikirie wengine nao waliojitahidi kwa kuwa mafanikio ya mwaka husika huwa hayajirudii....football ina mambo mengi!
Thierry Henry, Xavi Hernandez wameshawahi kukosa tuzo hii kipindi ambacho wako kwenye form kupita maelezo, just because kipindi hicho Ronaldo na Ronaldinho walikuwa wanauzika kupita maelezo!!!
Namalizia kwa kusema kwamba Iniesta alistahili hii tuzo, unless otherwise talent ndio kigezo pekee kwenye upatikanaji wa tuzo hii!
Najua kutakuwa na excuse nyingi cjui wapiga kura and all that, lakini what Iniesta achieved its worth than Messi, na ieleweke sipingi uwezo wa Messi bali nasema Iniesta alifanikiwa kushinda Messi!!
LIGI YA MABANGO NA MATANGAZO MENGI NDIYO BORA NA SISI TUNAIIGA TU KILA SIKU....!!
ReplyDeleteBwana bello nini maana ya performance kwa upande wako?, nini maana ya kufanikiwa?, unasema kilichombeba messi ni rekodi ya magoli tu, kwani kufunga magoli sio performance?, ukiacha magoli naomba unitajie mchezaji mwenye assist nyingi kuliko wote kati ya ronaldo, messi na iniesta. Lakini pia umesahau kuwa messi ni striker na kazi yake kubwa ni kufunga sasa utakataa vp kama anafunga na ndio kazi yake?, Kana kwamba haitoshi ukizungumzia kubeba makombe ni kweli kigezo muhimu lakini vp kama barca na argentina wangebeba kombe huku namba tisa wao messi awe hajatoa assist hata moja na pia awe hajafunga kabisa, je, nini ungekuwa mchango wake katika timu?, sometimes unapaswa kuangalia mchango wa mtu binafsi katika timu kuliko makombe waliyobeba coz timu hachezi peke yake.
ReplyDeleteNI KWELI LIGI YA SPAIN NI BORA KULIKO ENGLAND.HUWEZI KULINGANISHA TIMU ZA ENGLAND NA SPAIN.ANGALIA MWAKA JANA MAN U WALITOLEWA UEFA CUP NA TIMU INAYOSHIKA NAFASI YA 7 LIGI YA SPAIN.NI LAZIMA TUKUBALI UKWELI.ENGLAND HUWA WANAJITANGAZA NA KUJISIFU SANA.HEBU ANGALIA KATIKA TIMU BORA YA DUNIA HAKUNA HATA MCHEZAJI MOJA LIGI YA ENGLAND.ENGLAND NI KAMA YANGA AMBAO WAANDISHI WANAWAPROMOTE NA KUWATANGAZA SANA LAKINI YAKIJA MASHINDANO YA KIMATAIFA KWA AFRIKA WANAISHIAGA RAUNDI YA AWALI, HAWAVUKI HATA RAUNDI YA KWANZA!!!!
ReplyDeleteTIMU ZA ENGLAND MAN U, ARSENAL, CHELSEA NA MANCITY ZIKIPELEKWA SPAIN HAKUNA TIMU ITAKAYOKUWA KATIKA NNE BORA.ZITAANZIA NAFASI YA 5 AU 6
Mhe. Bello, naona huupingi ubora wa Messi lakini unanishangaza unapokataa asipewe hii tuzo. Kuuzika unakokusema maana yake nini? Kitu bora si ndicho kinachouzika? Kitu hafifu hakiuziki kuliko kilicho bora. Kupata World Cup au Euro si kigezo pekee cha kupata tuzo hii. Kumbuka George Weah alipata tuzo hii 1995 bila kucheza World Cup na hata timu yake ya taifa Liberia haikuwahi kushinda kombe la Afrika. Messi ni bora na anastahili tuzo hii kuliko mchezaji mwingine yeyote hivi sasa.
ReplyDeleteKwanza nafurahi kwa argument zenu naona mpo kimawazo ya soka zaidi, coz mmekubaliana nami kwamba tuzo hii ipo kwa ajili ya mafanikio ya mchezaji kwa mwaka husika!
ReplyDeleteSasa basi katika hili, mnaweza kuchambua ni mafanikio gani yanamfanya mtu astahili hii tuzo.....!
Ukiwa mfuatiliaji makini na una uelewa wa soka, utajua kwamba hii tuzo mchezaji haitafuti i mean ukiwa unacheza huwazi kwamba nia yangu kuwa mchezaji bora, bali cha kwanza ni mafanikio ya timu yako au taifa lako unalochezea! Ndio maana mara myingi watu huwa wanahoji ulichofanya kimeisaidia nn timu yako au taifa lako! Na ndio maana pia hata Messi mwenyewe jana kama umemsikia anataja watu anaocheza nao Barcelona na Argentina na mchezaji yoyote yule makini atasema hivi, nadhani hata yule mchezaji bora wa
kike jana ulimsikia akisema, " alisema hii tuzo si yangu peke yangu bali ni ya wote na wenzangu maana bila wao nisingepata pasi hata ya kufunga"'......Kwa mazingira haya, mafanikio binafsi huonekana na yapo lakini baada ya wewe mtu husika kufanya kitu fulani kwanza kwa msaada wa timu yako na taifa lako!
ANGALIZO: Kama mmekuwa wafuatiliaji wazuri, Ronaldo anakosa hii tuzo kutokana na panic, na pia huwa akicheza anaiwaza hii tuzo unlike Messi ambaye anarelax halafu mambo yanajipa yenyewe!! Mara nyingi Ronaldo utamuona uwanjani akilazimisha kumshinda Messi hasa kwenye mechi za mahasimu na bahati mbaya mara nyingi timu ya Messi huwa inashinda na Messi akiwa ameassist timu yake!!
Sasa basi, inapokuja mafanikio hapa tunaangalia ni nani amefanikiwa zaidi kusaidia timu yake na taifa lake na vigezo vipo! Ikumbukwe unaweza usichukue kombe, lakini bado ukawa bora.......simply because unashindana na nani na ana vigezo gani!! George Weah wakati anachukua hii tuzo hakukuwa na mtu wa karibu ambaye alikuwa ana sifa za kuchukua kombe na pia ye mwenyewe ana uwezo, ndio maana walimpa George Weah!! Tuzo huwa kuna nominees ambao wote kwa msimu huo wanakuwa wamefika level fulani ya kuingia kushindana lakini kigezo mama ni mafanikio ya ujumla kwa timu yako na taifa lako, kama HATAKUWEPO wa vigezo hivyo basi, wanaenda kwa vigezo vingine kwa kuwashindanisha wahusika!!
Fabio Cannavaro, mtakubaliana nami kama asingechukua World Cup sidhani kama angepewa ile tuzo kwa kuwa waliomkaribia walikuwa wako vizuri!! Issue ya George Weah its different, Weah alikuwa yuko kwenye form sana na aliyemkaribia hakuweza kufit in kimafinikio!!!
Messi yuko juu sana hakuna anayebisha, lakini anayeshindana naye Iniesta ana World Cup na pia ana Euro, na pia ni mchezaji bora barani Ulaya tayari ambako huku Messi naye yupo na ubora wake, ukiuliza kwa nn Iniesta alipewa uchezaji bora barani Ulaya, jibu unalo.......lakini pia nani anabisha uwezo wa Iniesta????? Collectivelly, Iniesta ali deserve jamani angalieni vizuri hili!
Halafu FIFA hao hao juzi wameikataa record ya Messi wamesema hawaitambui, sasa nini kilichombeba Messi ndio hapa nasema wakati mwingine FIFA wanaangaliaga nani anauzika kibiashara, ili hata wasiofuatilia mpira down to basic wanavutika coz kila mtu anamjua Messi ni nani hata kama huwa hawakeshi kama sie kuangalia mpira!
Messi amefunga magoli mengi na assist nyingi fine lakini hivyo vimesaidia kuleta taji gani kubwa kwa Barca na Argentina??? Kiujumla hayo ni mafanikio binafsi, je FIFA sasa wanabase kwenye mafanikio binafsi.....kwa nn mtu ambaye ana World Cup na Euro, na ni mchezaji bora wa Ulaya hajapewa hiii tuzo?????
Wadau angalieni kwa jicho la tatu, all in all uwezo wa Messi haupungui hata miaka miwili ijayo kama atakuwa salama, so cha msingi tusiwe tunayumbishwa na uwezo wake bali nini amefanya kwa timu yake na taifa lake kwa kipindi husika, tukizingatia na washindani wake wamefanya nini!
Huu ni mtazamo wangu na sio msaafu, tupingane kwa hoja!!!
Ukweli utabaki palepale, Messi ni bora nduguzangu! tusipende kupindisha ukweli, maana timu bora zote ziko Spain. Vilevile ni dhahili kuwa Watanzania sasa tuamke kufuatilia maendeleo ya soka la Spain na si ENGLAND tu kama tulivyoharibiwa na USIMBA NA UYANGA!kama ni kelele za matusi na kashfa mbali x2 za marefa ziko England anaebisha aseme. Timu bora ya mwaka imetoka Spain pekee kama sikosei ni Club tatu tu, hii si ubaguzi bali ni soka safi na lenyekuvutia wanalocheza Spain tofauti na Uingereza.
DeleteMhe. Bello, hivi unaamini kabisa FIFA ndio wanaochagua mchezaji bora wa dunia wa mwaka???? Mimi siamini hivyo. Ninachojua ni kwamba mchezaji bora wa dunia wa mwaka anachaguliwa na makocha wa timu za taifa za nchi zote wanachama wa FIFA pamoja na manahodha wao. Kwa hiyo mimi naamini hawa ni wataalamu wa soka la kimataifa kuliko wengi wetu tunaobishana hapa. Mimi ninachoweza kusema tu ni kwamba nakubaliana na uchaguzi wao kwa asilimia 100. Sioni lawama kwa FIFA katika hili.
DeleteMESSI RULE THE WORLD,PELLE MKONGWE MFALME N MESSI.
ReplyDeleteCjuwi wanaangalia vigezo gan coz messi hakufanya chochote mwaka jana zaidi ya rekodi ya magoli wanambeba messi hakucaguliwa na dunia walimchagua viongoz wa FIFA hii 2zo ilimfaa C.Ronaldo aliifanyia v2 vingi madrid
ReplyDeletePlease jamani anyone ambaye anaweza ichambua Argentina na wachezaji wake wote pia Spain na wachezaji wake wote. akaweka bayana katika 100% ni kiasi gani kila mchezaji anachangia.
ReplyDeleteMaybe this is harsh to swallow but Another record falls. Lionel Messi finished 2012 on 91 goals in 69 games. He began 2013 by winning the Fifa Ballon d'Or (with 41.6% of the votes), Cristiano Ronaldo (23.7%) came second and Andrés Iniesta (10.9%) third. It is the fourth time Messi has won it and no one else has won it so often. Because the award is a merger of the old European Footballer of the Year and the Fifa World Player of the Year which was inaugurated only in 1991, Diego Maradona never won it and nor did Pelé but it is doubtful if they would have matched Messi's achievement. Marco van Basten won the European award three times in five years, Johan Cruyff three in four and Platini three years in a row. Alfredo Di Stéfano won it twice. Messi has superseded all of them.
ReplyDeleteJust as with Raúl, a sense of injustice exists now. It is quieter but it is there. This Spain side is the most successful international team there has ever been. But none of its players have won the award. In 2010 even Messi seemed surprised to finish ahead of Xavi and Andrés Iniesta. Here Iniesta was Spain's sole representative – the winner of Uefa's Best Player in Europe award following Euro 2012. "I don't need individual awards to feel recognised; football is a collective game," he said. But that collective success, some argue, should have been recognised in this award.
Last year Messi picked up almost half the votes; there was no question. This time a case can certainly be made for Ronaldo, who helped carry Real Madrid to the league title, taking it from Barcelona for the first time in four years and breaking an all-time points record. He scored the goal that effectively clinched the title at Camp Nou, one of 63 he scored in 71 games. Ronaldo, like Messi, reached the Champions League semi-final and, like Messi, missed a penalty. But Ronaldo missed his in the shootout having scored in normal time.
At Euro 2012 Portugal reached the semi-final where they were defeated by Spain; Ronaldo was down to take the final penalty but never got the chance. Messi, of course, was not there. At team level Messi won only a Copa del Rey.
But then he scored more goals than anyone in a calendar year (the last man to hold the record, Gerd Müller, did not win the Ballon d'Or: Franz Beckenbauer did in 1972). Messi finished as the Champions League's top scorer for a fourth year in a row. And he started to do the one thing that everyone agreed he still had pending: perform brilliantly, consistently, for Argentina: his 12 international goals included a hat-trick against Brazil.
This is a wider electorate now than the ones used for either of the awards that preceded it. With the old system, where only journalists voted, Messi would not have won in 2010. With 600 in the electorate now, the criteria are widened and yet also narrowed; virtually no one is going to leave Messi out of their top three.
Beyond the analyses there is a very simple question: who is the best player in the world? Few would doubt that the answer is Messi. "For as long as Messi is around, the Ballon d'Or makes no sense," Dani Alves said, and Agüero concurred: "The Ballon d'Or will always be for Messi."
Messi is 25. It may be a long wait for someone else.
but whether we like it or not HE IS THE BEST no doubt about that..... but winning the Ballon d'Or I ain't so sure.