Search This Blog

Tuesday, September 18, 2012

SIKU KAMA YA LEO MWAKA 1999 - THIERRY HENRY ALIIFUNGIA ARSENAL BAO LAKE LA KWANZA

Siku kama ya leo mwaka 1999, mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa Thierry Henry alifunga bao lake la kwanza katika ligi kuu ya England akiwa anaichezea klabu ya Arsenal.

No comments:

Post a Comment