hao ndo Yanga bwana. Kocha atapokelewa kwa mbwembwe nyinhi tu, baada ya miezi michache tu wanamtibua. Ziko wapi hela wanazotambia kupora wachezaji wanaotakiwa na simba? si wangelipia vyumba kwenye hotel nzuri. Na yashaanza maneno kuwa kocha kapigwa memo, afunge domo lake. Hahaaa
Kocha anajitetea tu huwezi panga mabeki 7 kwenye first 11 alafu utegemee ushindi,ila kuna mambo mengine yupo sahihi
ReplyDeletehao ndo Yanga bwana. Kocha atapokelewa kwa mbwembwe nyinhi tu, baada ya miezi michache tu wanamtibua. Ziko wapi hela wanazotambia kupora wachezaji wanaotakiwa na simba? si wangelipia vyumba kwenye hotel nzuri. Na yashaanza maneno kuwa kocha kapigwa memo, afunge domo lake. Hahaaa
ReplyDelete