Vilabu vilikubaliana kwa pamoja kuwa kipengele cha exclusivity kiondolewe kweye mkataba na kiliondolewa... nakumbuka nilimuuliza Swali Mjumbe wa Kamati ya Ligi Mr Yahya kuwa Je endapo JKT Ruvu itampata Tigo kama mdhamini je itaruhusiwa kucheza ligi na jezi zenye nembo ya Tigo? jawabu lilikuwa ni YES... sasa kilichotokea uwanja wa Taifa leo ni Kichefuchefu...
John Joel Hawa TANZANIA FAKE FEDERATION
wanatia aibu sana wanakubali kuruhusu tmu ikipata mzamin na ikaruhusu timu husika kutumia nembo ya mzamin.
Na hilo n kosa kubwa ambalo hawakulijua yaana wanasema jambo alaf kesho yake wanageuka.
Leo ilikua aibu n kishuhudia kwa macho yangu African lyon waliozaminiwa na zantel,wazamin wao waliweka mabango yao taifa lakin ikatokea aibu kuona mabango hayo yakitolewa nje ya uwanja
je Tff kwann wanaruhusu v2 alaf tena wanakugeuka ?
Angetile Osiah Ndio maana tunasema talaluma ya uandishi imeingiliwa. Waandishi hawa-analyse facts zilizo mbele Yao bali wanaropoka hadi kufikia kutukana watu. Facts ziko clear kabisa. Waliojadili mkataba ni clubs. Tff haiwezi kusaoni mkataba bila Idhini ya klabu. Kanuni ziko wazi kuwa klabu ikipata sponsor ni lazima iwasilishe draft TFF Kabla ya kusaoni. Mwandishi asiyeona hilo atakuwa anaandikia matako
Geoffrey Dublex Dubu Lea TFF inalazimisha mambo,wote tunajua ukweli wa mambo ulipo jana wallace karia amedhihirirsha kuwa vilabu vinaendeshwa pasipo kujitambua na tff , inakuaje tff inaingia contract pasipo ridhaa ya clubs,lets say zimegoma kushiriki hiyo ligi yenyewe tff itachezesha ligi ya timu za jeshi pekee au, mkataba wa vodacom hauko clear , una vipengele ambavyo ni vya kinyonyaji kwa vilabu, when it comes to the issue of exclusivity vodacom wanapaswa kulipa fedha zaidi ya hii inayolipa sasa hivi ili clubs zisiwe na haja ya kutafuta sponsor mwingine otherwise there is nothing like exclusivity hakuna issue ya waandishi kutojua au kujua huo ni ukweli wa kawaida kwa mtu mwenye common sense angetileh kila siku anachosema ni waandishi kutojua issue at hand is not waandishi kujua au kutojua issue ni mizinguo ya tff ambayo inapeleka soka la bongo shimoni ts not personal angetileh cz tff is an entity that u found and you will probably leave soon or later we r discussing football issues sio personal attacks angetileh elewa hilo
Jiwe Mmwanakijiji kitu nilichogundua ambacho hakihitaji elimu ya chuo kikuu kwa bwana angetile aka ngeta(ngeta kwetu TMK ni ROBA labda ameingia TFF kupiga roba mpunga ili maisha yaende)ni kua jamaa ana upeo mdogo sana wa uongozi,sijajua kwa nini TFF waliamua kumuajiri huyu m2 ambaye siku zote amekua akirudisha nyuma maendeleo ya soka tz,chukulia mfano kabla ya kujiuzuru ujumbe wa kamati ya utendaji yanga ilipigwa 5 na simba dat means kashindwa ngazi ya club vp ngazi ya taifa?halafu namna hii bwana ngeta na mgongolwa mmejifungia pale floo ya 3 kwenye jengo la ppf towers na watu wa voda mkasaini mkataba halafu leo unaongea upuuzi eti vilabu vilikubaliana how?kwa nini leo vilabu vilalamike?tena mbaya zaidi vinasema havijui kama mkataba umesainiwa,braza uko dunia gani?kweli bora unyimwe utajiri upewe maarifa,wakati ukiwa mwanaspot ulikua ukidis sana kilichokua kinafanyika TFF,sasa leo mchawi mpe mwana kulelee ha ha ha ha ha kunahaja ya kufungua kesi mahakamani tuwashtaki hawa TFF kwa kuua mpira wetu tena kwa makusudi,narudia kusema ngeta tumia kichwa kufikiri na sio matako kama ulivyotangulia kuandika.
Eliêzêr Gîbsôn mi niichukie vodacom? kwa sababu zipi? hapa 2nawaonea bure vodacom wanahusika nini na mpira wenyewe wana fanya biashara wanaweka mzigo mezani kutokana na ufinyu wa akili viongozi wakushndwa kutafuta sporsorship datc y wanakubali mikataba ya kipuuzi hata ningekuwa mm vodacom lazima ningetaka kutoa hela ndgo coz ni faida kwa upande wangu! ktk waajiriwa wapya naona walau wambura peke ake ndo anafanya kazi ila jimmy kabwe,na huyu mnyakyusa angetile wanakula pesa za bure kwanza tangu kabwe ameingia coni kazi yake,tff ni uozo mwanzo mwisho tena huyo Osiah alikua anaponda sana wenzie lakini yeye madudu yake ni rekodi cjui ana2mia 2ndu la haja kubwa kufikiria@poor osiah angetile
Angetile Osiah Amkeni amkeni waandishi, huu ndio wakati. Lakini ukweli ndio huo. Governing body ya football Tanzania ni TFF, huo ndio ukweli. Matusi hayawezi kujenga hoja; ukweli hujitenga na uongo. Yameshasemwa mengi, lakini mwisho wake ukawa ni kuwaumbua waandishi walioshikilia bango. Hata hili litaishia hivyo kwa kuwa tunausimamia ukweli si unafiki.
James Tupatupa muheshimiwa unasema mkataba ulijadiliwa na vilabu,na umeongeza kuwa TFF hawawezi kusaini mkataba bila idhini ya vilabu,jana bwana walace karia ambae ni muwakilishi wa juu kabisa wa vilabu nchini,alibanwa na kituo flani cha television kupitia kipindi chake cha michezo akasema mkataba ni wa TFF na Vodacom vilabu havihusiki kabisa,vilioneshwa mkataba huo kama mashahidi tu,sasa tumuamini nani?na wewe ni vyema ukajipanga na kufuatilia mambo kabla ya kupost kitu,mnajivua nguo.
Nassor Idrissa Ni jambo baya sana mana timu zetu ni masikini mno na mdhamini hakidhi mahitaji yote ya vilabu Lazima Federation wawe mbele kuondoa ukirutimba wa kuvirudisha nyuma vilabu na hasa suala la udhamini wa vilabu !
Dullah Mussa Kama kweli TFF inaona mkataba voda una maslahi bac tugome kwenda viwanjani hadi hili la ukiritimba wa udhamini liondolewe.voda wao ni wadhamini wa TFF wanatakiwa wawekwe kama ka nembo kadogo tu kwenye mkono na wadhamini wakuu wa vilabu wawe vifuani. hii inafanyika sehemu nyingi duniani. ligi kuitwa ya vodacom yatosha. hawawezi watoke. wakati wanaanza kuidhamini hii ligi waliikuta Yanga inadhaminiwa na Mobitel wakaichezea picha ikaacha udhamini na mobitel na kingia udhamin na Shivacom baada ya mwaka udhamin ukafa! kumbe ilikua gia ya kuwatoa mobitel
George Anton Kahemele ,binslum ndio viongoz wa vilabu ambao mpo active humu kwenye group....i call upon you waheshimiwa kugomea angalau mzunguko mmoja au miwili ya ligi.....kwanza kuanza ligi bila fedha za usafiri na masuala mengine kwa club ndogo zitaumia na kuleta mazingira ya rushwa pale marefa wanapokosa posho zao lazima wauze gamez zao zote mapemaaaaaa.... Na mkataba wa udhamin vilabu husainiwa in presence of clubs kwa hiyo tff waliyajua haya wakasaini chooni kama sio bafuni...jaman na kama vip kuwe na minimum amount ambayo sponsor anatakiwa kumeet ili vilabu visiumie na kuwa flexible kuwa na wadhamin binafs hata mia tano...gomeni gomeni msisukumwe kama punda
Sosy Diwani Hili suala la African Lyon linatia simanzi sana. Exclusivity iko wapi hapo? 1.6 Bilion how? Why? Upuuzi usiovumilika.
Ommy Busta Nasimama nikiwa tayari kukosolewa, mdhamini mkuu wa Epl ni Barclays bila shaka ni taasisi ya fedha, na klabu ya liverpool ina udhamini wa jezi wa standard chartered ambao nao ni taasisi ya fedha kwetu kinashindikana nini? Fikra sahihi zije wakati sahihi, kizazi chetu ndio sahihi kwa mabadiliko tusimame kwa umoja kukosoa uozo huu, tuweke ushabiki pembeni kwa maendeleo ya soka letu.

Mhe. Osiah!
ReplyDeleteKama TFF inasaign mkataba kwa idhini ya club, inasemekana kuwa huwa mkataba wenyewe vilabu hawakuuridhia na majadiliano bado yalikuwa yanaendelea, pia tumesikia kuwa wewe kama katibu wa tff umesign, ilikuwaje ukasign mkataba pembeni bila ya ulichokiita idhini ya vilabu?!!
Lengo sio malumbano na matusi ila ni kutafuta mustakabali mzuri wa kuendesha soka.. Tunahitaji maendeleo ya soka na sio matusi. Kama ww kiongozi leo unasema waandishi wanaandika matako, yule mtu wa chini kule atasemaje?!!#Respect
Bado TFF inatakiwa kubadilika na kuendana na ukweli na sio kutuvungavunga tu kwa maslahi ya wachache.
Mohamed de Bebeto
HIVI HUYU ANGETILE ANA AKILI SAWASAWA KWELI? ANAANDIKA MATUSI YA KIPUUZI HIVI? NINA MASHAKA NA HIYO DEGREE YAKE
ReplyDeleteMimi nashangaa waziri wa michezo kwa nini asiingilie kati issue kama na akawasimamisha Uongozi watu wasanii kama hao akina Oseah,hii ni dhahiri TFF wameshindwa kazi,dawa ni kupiga reshafle kuanzia Rais wa TFF mpk hao viongozi wajinga wajinga km wakina Osea,kwanza wameshindwa kufanya kazi yao league imejaa usanii,utapeli,rushwa ujanja usio kuwa na kichwa wala mbele,kutokana na Uongozi wa kubabaisha ndo maana hatufanyi vizuri kwny team yetu ya taifa,..kiupande wangu sikuona sbb ya kuwakatalia Lyon wasivae nemble ya mdhamini wao,hii ni dhairi wakiwakubalia Zantel wa-shine kwny league hii kuna mambo yanaweza kufumuka,unaweza voda wamesha wa-alert wakina Oseah endapo watakubali kuwaachia Lyon waji-pimp nemble ya Zantel kitanuka kwa watu wanojuwa kufuatilia mambo,unaweza kuta udhamini wa Zantel kwa Lyon upo juu kuliko ule wa Voda wa msimu mzima,ukiangalia in deep zinatumia fedha nyingi kuliko hata wanachokishindania..!kuna jamaa yangu mmoja alinisikia nakwenda mpirani kuangalia ufunguzi wa league akaniambia"BONGO KUNA LEAGUE AU ANGAISHA BWEGE"siyo siri sikumwelewa ila now I UNDERSTAND what he ment...TFF MAGUMASHI MWANZO MWISHO.!
ReplyDeletefestchrist for Real
Ok sawa, nimefwatilia sana comments zilizotolewa hapo juu nimeshangazwa sana na mtu mzima katibu mkuu wa federation ya mpira tanzania akitamka maneno ambayo hata mtoto wangu hawezi kuyataja akiwa na watoto wenzake ila yeye kayatamka kwa watanzania wote.....waandihi wanaandika kwa kutumia nini angetile? aisee very bad kuwa na viongozi wa aina hii, maana yake hata kwenye meeting za kujadili mambo ya msingi yeye atakua hachangii kitu bali anafikiria hayo anayosema Ukiona kiongozi watu wanajadili chombo ambacho yeye anakiongoza then anaichukulia personal hafai hata kidogo. Jadili hoja matusi ya nini? kama Bwana lea alivyosema soon or later UTAONDOKA HAPO ULIPO HAUNA HOJA.
ReplyDeletemie naoana tff ni kijiwe cha wajanja wa chache wanaotafuta riziki ili maisha ya mjini yaendelee sasa huyo Osia anavyosema klabu zimekubaliana na hapo hapo wanaolalamika ni haohao waliokubali huo mkataba kama anavyodai hivi kwa akili ya kawaida tu inaingia akilini? Mtu atake kitu kama mlivyokubaliana na nyie mkampa kama mlivyokubaliana halafu akishapewa anaanza kulalalmika...hahahah hili bonge la sanaa na kama ni movie stering wake amakufa kabla picha haijaaanza na movie yenyewe inakluwa haina maaana......KARONDA KIBAMBA
ReplyDeletecjawahi kuona m2 bwege asiejielewa kama huyu mwehu osiah ni juha wa mwisho anaanza yy ku2kana alafu anasema matuc hayatosaidia k2....kweli akili ya kawaida sio k2 cha kawaida...tanzania fake federation endeleen kufanya madudu ila mjue huwez kumuelekeza njia kipofu..kubwaa jinga ww unaewaza kwa ku2mia matako ya mkeo
ReplyDelete