Search This Blog

Thursday, August 16, 2012

KAMA BIN KLEB NA MBUYI TWITE VILE!

8 comments:

  1. karibu rvp united nakukubali sana

    ReplyDelete
  2. uzur shaffih vijana wakishatoka arsenal wana drop wapi henry, mathieu flamin hleb na wengne wng 2 ha2ogopi anaenda kuwa babatov wa 2!!!

    ReplyDelete
  3. Gunners wameona mbali,£24 mil karma inavyodaiwa ni huge money kwa mchezaji aliyebakiza msimu mmoja.Challenge kwa man u ni Yale majeraha ya RVP

    ReplyDelete
  4. Kamwe hawezi kurudia kiwango chake msimu huu

    ReplyDelete
  5. Najua imewauma kuja Man U RvP leo yamekuwa mgonjwa kabakisha msimu m1 majibu mtayapata kuanzia wk hii RvP naye binadamu anapenda furaha kuvaa medali na kubeba makombe msimuonee choyo mashabiki wa Arsenal.

    ReplyDelete
  6. Hayo ni maneno ya mkosaji tu unajuaje Kama hatakuwa na kiwango ? Poleni sana , hata sisi wakati Ronaldo anaenda Madrid tulihuzunika sana na tukawa na ndoto Kama zenu kuwa Ronaldo akiwa Madrid hatakuwa na kiwango Kama alichokuwa nacho Manchester kumbe ilikuwa kinyume amekuwa na kiwango zaidi na zaidi , na hata ikitokea RvP ikawa hana kiwango bora Man U au akarudi kwenye majeruhi haitakuwa tatizo kwani RvP ndani ya kikosi cha Man U hatakuwa anategemewa kwa 100% Kama Kama alivyokuwa anategemewa Arsenal

    ReplyDelete
  7. Kaka Shaffi unamajungu na Yanga wewe sijui unawashwa nini? si ungesema kama Rage na Twite. We hujisikii raha bila kukosoa Yanga "majungu si mtaji kaka" fanya kazi yako kiuanamichezo na kiutu uzima

    ReplyDelete
  8. si mkubali yaishe!!babu mwenyewe kakubali ingawa alikuwa hataki,hayo masuala ya kwamba rvp hawezi kuwa kwenye kiwango kama cha mwaka jana ni kwasababu ameena man u? au kuna lingine

    ReplyDelete