Search This Blog

Thursday, June 7, 2012

YANGA YAANZA MAZUNGUMZO NA MAXIMO

Taarifa zisizo rasmi nilizozipata hivi punde klabu ya Yanga ipo kwenye mazungumzo na aliyekua kocha wa Taifa Stars Mbrazil Marcio Maximo.
Kama mazungumzo hayo yatafanikiwa basi Maximo atarejea kwa mara nyingine tena hapa nchini kuja kuifundisha Yanga.

2 comments:

  1. Maximo atakuja kuingia aibu kama makocha wote wa kigeni waliopita Yanga,huwa club haina wachezaji wanaofundishika,na sio Yanga peke yake bali Tanzania nzima unaweza kuona wachezaji wachache wanaofundishika.
    Wakiona hivyo watamfukuza wakisema hawezi lakini sio kweli.Anahitaji muda mrefu kufanya kazi kubwa.Je Yanga watampa nafasi na muda wa kutosha kuifanya kazi yake?

    Abraham Jesse
    DUCE.

    ReplyDelete