Search This Blog

Friday, June 1, 2012

VIJANA WA U 20 WA TP MAZEMBE WASHIKA NAFASI YA PILI!

VIJANA WA UMRI CHINI YA MIAKA 20 WA TP MAZEMBE WAMEFANIKIWA KUSHIKA NAFASI YA PILI KWENYE MASHINDANO YA VIJANA YALIYOMALIZIKA HIVI KARIBUNI NCHINI UJERUMANI.
Mashindano hayo yalifanyika  kwenye mji wa Ergenzingen, Baden-Wurttemberg,  huko nchini Ujerumani.

    Raisi wa TP Mazembe Moise Katumbi akikabidhiwa kikombe cha ushindi wa pili.






No comments:

Post a Comment