Search This Blog

Friday, June 29, 2012

MUIGIZAJI AFANYA UZINDUZI WA FILAMU YAKE MPYA KWA KUTOA MSAADA KWA YATIMA



Msanii wa filamu nchini, Vicent Kigosi 'Ray' akikabidhi sehemu ya msaada uliotolewa na Kampuni ya Steps Entertainment ya jijini Dar es Salaam jana kwa mlezi wa kituo cha Maunga kilichopo Kinondoni, Zainabu Bakari vyakula mbalimbali vimetolewa vyenye thamani ya shilingi milioni moja na nusu katika kituo hicho, kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Steps, Ignatus Kambarage. Picha na Mpiga picha Wetu

Vicent Kigosi 'Ray' katikati na Meneja Masoko wa Kampuni ya Steps, Ignatus Kambarage wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kugawa vyakula…


No comments:

Post a Comment