Search This Blog

Friday, May 4, 2012

WACHEZAJI WA BARCELONA NDIO WANAOLIPWA MISHAHARA MIKUBWA KULIKO WACHEZAJI WA MCHEZO WOWOTE DUNIANI.

Barcelona wanaweza kuwa hawajawa na msimu mzuri kwa standard yao, lakini kuna vitu fulani bado vinawaweka juu baada ya The Catalans kutetea nafasi ya kwanza kama timu inayolipa mishahara mikubwa wachezaji wake.
Barca wanalipa mshahara wa wastani wa £101,600, ambao ndio mkubwa zaidi kulipwa kwa wachezaji katikamichezo yote duniani.
 Pia soka imetawala katika listi ya vilabu vya michezo 12 duniani vinavyolipa mishahara mikubwa wachezaji wake - huku wapinzani wao Real Madrid wakifuatia nafasi ya pili, Manchester City wakitoka nafasi 10 mwaka jana - mwaka huu wameshika nafasi ya 3, Chelsea wamekamata nafasi ya nne na Bayern Munich, na timu mbili kubwa za Milan na Manchester United wote wakiwemo katika Top 12.

HII NDIO LISTI KAMILI

1 comment:

  1. KIU UKWELI BARCA NDIE CLUB INAYOWEZA KUMLIPA MCHEZAJI KWA SABABU NDIO CLUB KUBWA DUNIANI LAKINI KUTOA BARCA WA MEKUWA WAGUMU SANA KUSAJILI WACHEZAJI WENYE UZOEFU WA JUU KAMA EDIN HAZZAD NA WENGINE WWENGI

    ReplyDelete