Search This Blog

Friday, May 4, 2012

OMBI LA MDAU KUTOKA NCHINI FINLAND

Dear kaka Dauda,
Thanks kwa kipndi chako na Blog yako nzuri..yes inatufanya tuwe updated hata tulio nje ya nchi ya Tanzania na ukweli najua jinsi gani ulivy frutrsted na aina ya uusanii wa soka letu la bongo.
Nipo na wa Tz kibao hapa tunabisha kuhusu maamuzi ya kamati ya Tigaigana na jinsi shereia ya TFF no 22 km sikosei..je inasema refa alitakiwa kusubir dk ZISIZOZIDI 15 AU ZISIZOPUNGUA 15?
Km nilisikia vibaya kutoka kwenye vipindi vya clouds ni kwamba dk zisizozidi 15..
Please unaweza kunifowardia hiyo document?km ipo for public use anyway, au nijibu tu email hii km inawezekana pia kaka...
Thanks..
Mtebe
Tampere, Finland

1 comment:

  1. Kanuni ni dakika zisizozidi 15, ikiwa na maana zinaweza kuwa chini ya dk 15, ila kwa jinsi ambavyo mimi nimeliona hilo sakata ni kwamba kilikuwa ni kimeo cha mwamuzi na hata wao Azam wenyewe najua walijua haikuwa penati bali ulikuwa ni usanii, sikuwepo uwanjani ila maelezo niliyoyasikia kupitia sport extra ya clouds fm ni kwamba hapakuwa na mazingira ya penati kwani hata body language ya wachezaji wa Azam ilidhihirisha kwamba ulikuwa ni usanii wa kutaka kuwapa Azam ushindi wakati giza linaingia.
    Mwisho wa siku leo wamechezea kichapo ila si mbaya kushika nafasi ya pili ni mafanikio makubwa hasa kwa timu changa kama ya Azam.
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete