Search This Blog

Saturday, May 19, 2012

KUTOKA MUNICH: POMBE NDIO KINYWAJI KINACHOONGOZWA KUTUMIKA HAPA

Katika siku mbili nilizokaa hapa Munich nimegundua watu hapa hasa mashabiki wa soka wanapenda sana kunywa pombe.
Pombe ndio kinywaji wanachopenda sana watu wa hapa, mitaani mpaka viwanjani utawakuta watu wameshikilia maglassi ya pombe.

1 comment:

  1. Shaffi si kwamba Chelsea wamewazidi Munich ki mpira ila tu bahati ilikuwa kwao, tukubali au tukatae ila ushindi wa bahati upo. Mutungi (Dar es salaam)

    ReplyDelete