Search This Blog

Friday, May 11, 2012

BREAKING NEWS! SIMBA WAZIMIWA TAA,WAZUIWA KUFANYA MAZOEZI

Wachezaji wa Simba wakiwa wameduwaa uwanjani baada ya kukataliwa kufanya mazoezi na timu ya wenyeji ikiendelea na mazoezi.

Taarifa nilizozipata hivi punde Simba imezuiliwa kufanya mazoezi na wenyeji wake timu ya AL AHLY Shendi.

'' Visa vimekuwa vikubwa mno hata sijui hawa jamaa wanataka nini,jamaa wamegoma kutuachia uwanja tufanye mazoezi ''- Mjumbe wa kamati ya Utendaji,Swed Nkwabi

7 comments:

  1. 3 za dar + chadema = YANGA.....Pamoja na fitna zao kipigo kipo palepale!

    ReplyDelete
  2. Ama kweli jamaa wamewaamulia, maajabu sasa watakutana nayo uwanjani wakicheza kadi nyukundu zitawahusu sana.Mpira wa afrika fitina hatari.
    Ila tunawatakia kila la kheri.
    mdau
    mike

    ReplyDelete
  3. Kaka shafii mpira fitina hata uk mwenye kitita kikubwa ndio anabeba ndoo, utapata jibu j2 huko uk. Med

    ReplyDelete
  4. Goli Tati nyengine wanazo tu hata wakifanya visa vya aina gani

    ReplyDelete
  5. hakuna ubishi,mpira wa africa ni majungu and why hatutaendelea kamwe zaidi zaidi tutawatumikia wazungu na kuwapa faida huku Afrika ikiwa haina chake.ila hao Wasudani hata wafanyeje lazima kiachapo kiwahusu.Shafii mpira utaonyeshwa na kutangazwa?

    ReplyDelete
  6. kaka shaffih al ahly shendi ni mfa maji haishi kutapatapa kipigo kipo pale pale

    ReplyDelete
  7. Duh! polen wana msimbazi, bt mungu yupo nanyi atawasidia.

    ReplyDelete