Search This Blog

Saturday, May 12, 2012

ALEX MGONGOLWA ATHIBITISHA TFF KUINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA ADIDAS.

2 comments:

  1. Jamaa ametoa majibu mazuri,lakini piamaswali yako Shaffih yalikuwa mazuri kwa yalikuwa yanamlazimisha kutoa majibu yanayo cover sehemu kubwa ya mambo ndani ya mktaba huo mpya ambao kwa kweli kwa mujibu wa hayo maelezo nashawishika kukubali kwamba ni mkataba mnono haswa.Natumani Boban kama ikitokea akaitwa tena basi atatulia kwani kipindi kile kwa elfu 15 wala huoni kama umekosa kitu labda ilikuwa ni sababu akawa anazingua.
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete
  2. Shafii kuwa muangalifu katika uandishi wako. Kiswahili safi ni THIBITISHA na sio DHIBITISHA hivyo isomeke ATHIBITISHA.

    Ni hilo tu

    ReplyDelete