Mchezaji wa zamani wa Barcelona Ronaldinho amepewa ruhusa ya kuuvunja mkataba wa ke na Flamengo kufuatia kutokulipwa kwa mishahara yake ya miezi kadhaa sasa.
Kwa muda mrefu sasa mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil amekuwa kwenye vita na Flamengo, huku ripoti zikisema kwamba mchezaji huyo alianza kuona machungu ya kukaa ndani ya klabu hiyo baada ya kutuknwa na mashabikiwa Rubr--Negro wakati wa mechi dhidi ya Internacional.
Mapema Alhamisi, Flamengo walikanusha kwamba waliakuwa wamemuachia Ronaldinho, lakini mchezaji huyo wa zamani wa Barca aliamua kuchukua hatua za kisheria dhidi ya klabu hiyo.
Ronaldinho anadai anaidai klabu hiyo jumla ya €16 million ya malaimbikizo ya mishahara na haki za taswira yake, na mahaka ya kazi ya Rio de Jeneiro ikatoa uamuzi ulioenda upande wa mchezaji huyo.
Shirikisho la soka la Brazil (CBF) linategemewa kuutambua rasmi uamuzi huo wa mahakama kabla ya mwisho wa siku - jambo ambalo litamfanya Ronaldinho awe huru.
"Ningependa kushukuru tena kwa sapoti yote niliyopokea nikiwa kwenye klabu hii na ningependa kusema, kutoka chini ya uvungu wa moyo wangu kwamba kuichezea Flamengo ilikuwa ni heshima kwangu," Ronaldinho alisema kwenye akaunti yake ya Twitter.

No comments:
Post a Comment