Search This Blog

Monday, April 23, 2012

RONALDINHO GAUCHO ! HUYU MTU ANA BALAA

2 comments:

  1. Umenikosha mno mkuu,kama vile ulikuwa kwenye mawazo yangu nimemaliza kuangalia mambo ya Zizzou akawa amenikumbusha Dinho, Mimi kwa upande wangu Ronaldinho ndiye mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea ulimwenguni, najua kila mtu ana maoni yake juu ya hili ila mimi ntasimama na huyu jamaa daima yote kwenye kandanda, wapo wachezaji wengi ila Dinho kwangu ndio alikuwa mwisho wa matatizo yote, huyu mimi ndio naamini alizaliwa na mpira moja kwa moja.
    Mimi ni shabiki wa Man U nakumbuka Fergie alipogoma kutoa Pound Mil 13 kumsajili kutoka PSG nililia machozi kwani sijui nini kingetokea kwenye EPL; nimeshawahi kuona mahojiano ya Fergie akijutia uamuzi wa kutokupanda dau la mill 13 ila laiti angejua alininyima usingizi.
    Dah Ronaldinho Gaucho
    Mdau
    Mike.

    ReplyDelete
  2. Mimi mchezaji kwa Ronaldo de Lima, hebu Shaffih waekee moja ya De Lima ! Watapiga salut jamaa noma. Mohd AbuSabr Elhind

    ReplyDelete