GAMES PLAYED(SUBSTITUTE)
GAMES WON/DRAWN/LOST
GOALS SCORED
AVERAGE GOAL.COM PLAYER RATING | 4(0)
1/1/2
2
6.25 |
Van Persie, na Arsenal in general, walianza msimu taratibu. Baada ya sare tasa katika mechi ya ufunguzi., baadae mdachi huyo akafunga goli muhimu la kusawazisha dhidi ya Udinese katika mechi ya play off ya champions league kabla ya kufunga goli la pili katika mechi ya aibu kwa upande wao waliyofungwa 8-2 naManchester United.
SEPTEMBER
GAMES PLAYED(SUBSTITUTE)
GAMES WON/DRAWN/LOST
GOALS SCORED
AVERAGE GOAL.COM PLAYER RATING | 4(0)
1/1/2
2
6.25 |
Arsenal waliendelea kucheza ovyo mwezi wote wa septmber, ushindi mwembamba dhidi ya Swansea na droo ngumu dhidi ya Dortmund zikifuatiwa na kufungwa na Blackburn huku Van Persie akifanikiwa kufunga goli 1 katika mechi dhidi ya wajerumani. Mambo yalianza kwenda vizuri baada ya kufunga goli mbili zilizoisadia Arsenal kushinda 3-0 dhidi Bolton.
GAMES PLAYED(SUBSTITUTE)
GAMES WON/DRAWN/LOST
GOALS SCORED
AVERAGE GOAL.COM PLAYER RATING | 5(0)
4/0/1
7
7.50 |
Mwezi October Van Persie alifakuwa na urafiki mzuri na magoli ya wapinzani. Baada ya kufungwa na Tottenham, nahodha wa Arsenal alifunga mabao mawili ya ushindi ya Sunderland , akafunga mawili tena katik mechi dhidi ya Stoke kabla ya kufunga hat trick katika london derby dhidi ya Chelsea.
GAMES PLAYED(SUBSTITUTE)
GAMES WON/DRAWN/LOST
GOALS SCORED
AVERAGE GOAL.COM PLAYER RATING | 4(1)
3/2/0
5
7.50 |
Hali ya hewa ikawa ya baridi ulipofika mwezi November lakini mdachi huyu akazidi kuwa wa moto. Baada ya kufunga goli katika ushindi wa 3-0 dhidi ya West brom @Emirates, Van Persie akafunga katika mechi ya tano mfululizo akitupia bao mbili za ushindi dhidi ya Norwich City na Dortmund huku Gunners wakianza kuirudisha form yao iliyokuwa imepotea.
GAMES PLAYED(SUBSTITUTE)
GAMES WON/DRAWN/LOST
GOALS SCORED
AVERAGE GOAL.COM PLAYER RATING | 6(0)
4/1/1
4
7.08 |
Magoliyakizidi kumwagika kwa Van Persie katika kipindi cha sikukuu, akifunga dhidi ya Wigan, kabla ya kutia kambani dhidi ya Everton na Aston Villa. Akakosa bao katika mechi dhidi ya Wolves, na sasa akawa anahitaji hat trick dhid ya QPR ili kuifikia rekodi ya Alan Shearer ya kufunga mabao mengi katikA KALENDA YA mwaka wa premier league, lakini akafunga goli moja.
GAMES PLAYED(SUBSTITUTE)
GAMES WON/DRAWN/LOST
GOALS SCORED
AVERAGE GOAL.COM PLAYER RATING | 4(0)
1/0/3
4
6.75 |
Gunners walianza mwaka 2012 na vipigo vitatu mfululizo, Van Persie akifunga dhidi ya Swansea na Man United. Baada ya kumuangalia Henry akifunga katika mechi yake ya kwanza dhidi ya Leeds, Mdachi huyu alikwenda kufunga penati mbili katika mechi ya raundi ya nne dhidi ya Aston Villa.
GAMES PLAYED(SUBSTITUTE)
GAMES WON/DRAWN/LOST
GOALS SCORED
AVERAGE GOAL.COM PLAYER RATING | 6(0)
3/1/2
4
6.75 |
Mwezi mbaya, walianza na sare ya 0-0 dhidi ya Bolton, kabla ya mambo kubadilika na kushinda 7-1 dhidi ya Blackburn huku Van Persie akifunga hat tick kabla hawajaenda San Siro na kufungwa magoli manne kwa nunge. Baadae wakaja wakatolewa katika FA Cup baada ya kufungwa 2-0 na Sunderland. Mechi iliyofuatiwa walianza kufungwa 2-0 na Spurs pale Emirates kabla ya Pesie kurudisha na kwenda hafl time wakiwa wamelingana. Kipindi cha pili Walcott akaibuka shujaa baada ya kufunga mengine na kuifanya timu yake iibuke na ushindi wa 5-2.
GAMES PLAYED(SUBSTITUTE)
GAMES WON/DRAWN/LOST
GOALS SCORED
AVERAGE GOAL.COM PLAYER RATING | 6(0)
5/0/1
4
6.75 |
Ushindi dhid ya Spur uliamsha cheche za ushindi za Arsenal. Van Persie akafunga goli muhimu dhdi ya Liverpool. Gunners wakakaribia kuushangaza ulimwengu baada ya kuifunga AC Milan 3-0 katika mchezo wa pili wa UCL huku Van Persie akifunga goli penati. Nahodha huyo pia alifunga goli la ushindi dhidi ya Newcastle ingawa mwezi huo uliisha kwa kipigo dhidi ya QPR.
GAMES PLAYED(SUBSTITUTE)
GAMES WON/DRAWN/LOST
GOALS SCORED
AVERAGE GOAL.COM PLAYER RATING | 4(0)
2/1/1
1
6.7 |
Form ya the Dutchman hivi karibuni imekuwa ya kawaida sana, akifunga goli moja mpaka sasa ndani ya mwezi huu wa nne katika dhidi ya Wolves.
JUMLA YA TATHIMINI YOTE YA MIEZI 10
SEASON'S TOTAL THUS FAR |
GAMES PLAYED(SUBSTITUTE)
GAMES WON/DRAWN/LOST
GOALS SCORED
AVERAGE GOAL.COM PLAYER RATING | 43(2)
26/7/12
34
6.94 |
No comments:
Post a Comment