Search This Blog

Monday, April 23, 2012

Zinedine Zidane - Footballs Greatest document

1 comment:

  1. Thank you so much, I enjoyed watching that clip of exceptional Zizzou.
    Brother Shaffih Dauda nilikuwa na ombi tu kama unaweza kulifanyia kazi nadhani ingekuwa poa sana mimi ni shabiki mkubwa wa blog yako na nikupongeze kwa kutupatia habari na matukio mbali mbali adimu kabisa.Ombi langu ni hili...Kuna namna ambayo nimekuwa nikiiona kwenye blog nyingine mtu akitaka ku comment anapo click panatokea ka-page kadogo pasipo ku disturb page nzima ya blog, mimi si mtaalamu IT ila naamini kama utaona wazo hili lina mashiko naamini mtaalamu wako wa IT anawaza kulifanyia kazi ila ni kama tu si gharama kuweka hicho kipande.
    Otherwise, Thank you so much.
    Mdau
    Mike.

    ReplyDelete