![]() |
| Mwanadada Wema Sepetu ambaye alikuwa mpenzi wake Kanumba kabla hawajatengana akiwa na huzuni mkubwa juu ya kifo cha mpendwa wake huyo wa zamani. |
| Shabiki wa Kanumba akiwa amezimia baada ya kupata taarifa za msiba. |
| Muigizaji Tito akiwa analia kwa uchungu huku akibemebelezwa na Cloud |
| JB akiongea na Asha Baraka jana usiku katika hospitali ya muhimbili. |



No comments:
Post a Comment