Search This Blog

Saturday, April 7, 2012

MATCH HIGHLITES: ES SETIF vs SIMBA



3 comments:

  1. Awali ya yote niwape watanzania wote pole kwa kifo cha msanii wetu nguli Kanumba, alikuwa mmoja kati ya waigizaji bora kabisa hapa tanzania.
    Shaffih shukrani kwa clip unajua sikujua goli alilofunga Okwi lilikuwa bora kiasi hicho nafikiri ni moja ya magoli bora kabisa aliyowahi kuyafunga, mkuu Shaffih najua utapata nafasi ya kuonana na Okwi akirudi hili ni swali langu kwake tafadhali naomba unisaidie kumuuliza,Alikuwa anafikiria kabla hajapiga hilo jiwe kwa kuwa muda ulikuwa ni kama umekwisha sasa what comes into his mind akaamua wacha niachie kombora liwalo na liwe sipati picha tafadhali sana kama utafanikiwa kumpata kwa mahojiano mafupi hilo ndilo swali langu.
    Mdau
    Mike.

    ReplyDelete
  2. Just as the weather changes in matter of second from sunshine to cloudy life too holds no guarantee, went from happy as Simba made us proud to god knows what, football is the last thing that comes on the mind at times like these, may god gives us all patience at this time,my humble heartfelt condolences to my fellow tanzanians. To him is our return,rest in peace my fellow brother in humanity, your legacy will live on.
    Soud, london.

    ReplyDelete
  3. Kaka natumai kazi inaendelea njema, poleni na msiba ni wa sote, nilikuwa nimewacha clouds on siku nzima nipate kupata habari za nyumbani pamoja na maendeleo ya msiba and ninawashukuru kwa hilo ukizingatia kidogo tuko mbali kidogo na nyumbani, anyways ninashukuru mungu nimepata kutazama mechi ya la liga zaragoza na barca,nadhani matokeo unayafahamu ila allahu ahlam sijui lolote kuhusu whats gonna happen in the next minute as am typing this right now,or whats gonna happn in the next hour,day,weeks,months or years but in Lionel Messi we are witnessing the greatest player of all time in the making. Pele and co will always argue he hasn't won a world cup yet and needs to do so to be considered the great Pele couldnt win the whole world cup by himself it takes a team effort to achieve that though coming up with the goals in the games counts as valid contribution but so is team effort, hakuna mfalme or rais anayependa kupinduliwa and so is Pele and taking the fact messi is argentine makes it worse. Just pointing out really i think dani alves ameweka mbali ile mimi mbrazil na messi ni argentina basi simpasii mpira and rather working towards making barca the club they are, He has recognise the talent messi has na kila akienda mbele if he were to make the last pass he would pass it to leo, sijui statistics zinasemaje but nadhani over the last two seasons he has made more assists than any other player in the mildfield. Mimi ni mpenzi wa arsenal na Cesc kuondoka limekuwa pengo gumu sana kuzibika especially ukitazama mechi ya leo his passing ability is on par to xabi alonso, Cesc can hit that 50,60 yard pass with such accuracy over and over again, he will do similar thing with accuracy defence splitting pass either over the top or on the floor and this season he has played a lot better also down to less injuries, last but not least the fourth goal scored by pedro is typical barca,tyical team gone and we have see them doing that over and over again, put together strings of touches ends up with the goal, that's what football stands out for. absolutely wonderful team goal, hope our teams and players learning out of it.

    ReplyDelete