Search This Blog

Saturday, April 7, 2012

BREAKING NEWS: MUIGIZAJI LULU ALIYEKAMATWA KWA KUHUSISHWA NA KIFO CHA KANUMBA AGOMA KUTOA MAELEZO POLISI MPAKA ATAKAPOFIKA MWANASHERIA WAKE.

Kutokana na utata wa kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba The Great,mpaka sasa hivi inadaiwa kuwa Lulu ndo atakua anajua kilichotokea chumbani kabla ya kifo cha Kanumba, kwani walikua wote chumbani kama wapenzi, kabla ya mwanadada huyo kmwita ndugu wa kanumba na yeye kutoroka,
Sasa baada ya kukamatwa na Polisi, Lulu amegoma kutoa maelezo polisi mpaka mwanasheria wake afike, na vile vile ameomba arekodiwe kila atakachoongea ili ushahidi usije ukapindishwa.
So polisi hawana budi kusubiri mpaka mwanasheria wa Lulu atakapofika.
Kwa wakati huu Lulu na yule mwanaume aliyekamatwa nae wamewekwa chini ya Ulinzi mkali wa polisi.

14 comments:

  1. Haya jamani tusubili maelezo atakayoyatowa akija mwanasheria wake.

    ReplyDelete
  2. Kifo tumeumbiwa wanadamu, kifo kifo hakibagui umri, elimu, cheo, umaarufu wala kipato, kuna vifo vya gafla, ajari, magonjwa, n.k Lazima tukubali kuwa siku yako ikifika hakuna jinsi ya kukwepa, LULU pekee ndiye ajuaye kilichotokea chumbani usiku ule, iwe ameusika au hajahusika lkn kitendo cha kutoroka baada ya hali ya Kanumba kuwa mbaya kinaweza kikamuweka pabaya, tuwaachie porisi waifanye kazi yao. Poleni sn wa TZ wenzangu kwa kumpoteza mtu muhimu sn kwenye tasnia ya Filamu nchini, "Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina LA bwana libarikiwe"

    ReplyDelete
  3. Ila tusihukumu mapema ingawa mazingira yanafanikiwa kabisa kutushawishi kuhusika kwake kwa namna moja au nyingine iwe kwa kukusudia au bila kukusudia

    ReplyDelete
  4. ok na tusubiri huyo lawyer.

    ReplyDelete
  5. i want to knw huyo mwanaume alie kamatwa nae anahusika vp kwenye hili sakata

    ReplyDelete
  6. yupo sahh LULU ngoja tusubiri.

    ReplyDelete
  7. Huyo lulu akili kosa lake kama vipi ili wa tz wajue cha kufanya,kuzuia kitu kama iko kisitokee tena hapa bongho baadae

    ReplyDelete
  8. huwezi kujua kanumba alitaka nini kwa huyu binti mpaka ugomvi ukatokea. na kivyovyote huyu binti katika harakati za kujitetea alimfanya kanumba atereze. kuuwa bila kukusudia. jela miaka mitatu.mbona vijisenti alipa faini laki saba kwa kuuwa watu wawilii.

    ReplyDelete
  9. huyo dem inamana hakua anapenda kwa dhati,sababu nimsiri saana kwanini hakutaka Kanumba ajuw kinacoendelea kwa hiyo sim nasikia amepokea Lulu?inaonekana wamekua na Kanumba kimaslai,ok haina shida tunamsubiri mwana sheriya wake

    ReplyDelete
  10. yote yanawezeka kwa sas LULU anaatia yoyote aiwezeka yeye aweze kumsukuma baba zima kama kanumba mimi naona binti ywetu aachiwe huru kwanza kanumba ndo mwenye makosa atapendana vipi na kamtoiiii ..

    ReplyDelete
  11. Aaachiwe tu jamani..

    ReplyDelete
  12. siku ilishafika sio cha LULU wala nani mungu amepanga.

    ReplyDelete
  13. Kwa mazingira ya kifo hicho ni wazi Lulu amehusika hata kama si kwa makusudi ila hawezi kusema yeye hajui kuhusu kifo kile, kwani hiyo itakuwa ni kuudanganya ulimwengu.

    ReplyDelete