Search This Blog

Saturday, April 7, 2012

TWEETS ZA MWISHO KATI YA STEVEN KANUMBA NA LULU


4 comments:

  1. daah!!! huyu LULU anaweza kuua mwanamme yeyote kwa wivu, ukitaka kuamini kwamba bro. KAY alivumilia mengi Tembelea tweeter page ya elizabeth michael, unaweza kulia. Rest in peace KANUMBA.

    ReplyDelete
  2. lulu hakumuua kanumba jamani ila lulu alihusika kwenye tuio zima kilichomuua kanumba ni mtikisiko wa ubungo kwa kitaalam unaitwa brain concussion.

    ReplyDelete
  3. mhhh shoga kazi unayo lulu.. huu msala huukwepi. mtoto mdogo ushankupe ulikujaa na kutaka kuishi maisha ya watu wazima. nashangaa na hao wanasiasa eti wanajitotea kukusaidia, sasa sijui ndio kujenga jina waidi kwenye siasa, tena na hvi uchaguzo unakaribia!! fikiria Mdee jana alivyokuwa anaforce kutafuta public sympathy na mpaka kudanganya eti una miaka 18?? shame, kwani sio wewe mwaka jana ulija kwenye magazeti tele ukifanya party yako ya miaka 18? na picha zipo. na mbona wazazi au ndugu zako hawakukanusha? haya Mdee anadai ulikuwa unategemewa na familia nzima, mie sijaelewa hapo kwani wakati bado hujaingia kwenye movie walikuwa wakiishi vipi? na kwanini wakutegee wewe unayedaiwa kuwa ni mtoto mdogo? na ni kwa kazi gani wakati ni mtoto na huruhusiwi kufanya kazi? ya wanaume labda. haya Mdee anasema lulu kamwabia eti Kanumba alikuwa nampiga ana ubapa wa panga, haya mbona hajasema lulu alifanya nini cha kujitetea wakati anapigwa na ubapa wa panga?!! alimsukuma ama? ni lazima atakuwa alikwambia alijiteteaje. publicity zingine bwana....

    ReplyDelete
  4. Watu wanamuhukumu Lulu kwa chuki. Hata kama alimsukuma, we ulitaka akipigwa asimame tu? Kifo kinasikitisha ila Lulu hakumuua Kanumba. Hata kama Lulu angekuwa na miaka 30 kushitakiwa kwake si haki. Mnamsema Lulu kuwa na wanaume, ila Kanumba na wasanii wa kiume wenye wanawake kibao waitwa malijari. Hivi kwa nini Kanumba kufariki anazungumziwa utasema mtume wa Mungu. Na mnaomuita Lulu shankupe na malaya mnatumia vigezo gain? Chuki zisizo na msingi.

    ReplyDelete