Search This Blog

Thursday, April 12, 2012

ANDY CARROLL AMALIZA UKAME WA DAKIKA 517 BILA GOLI KATIKA LIGI KUU YA ENGLAND







517 - Andy Carroll amemaliza ukame wake wa goli uliodumu kwa dakika 517 bila kufunga goli katika premier league.


1 - Wigan Athletic jana usiku waliifunga Manchester United kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo.


3 - Wigan walipata kadi nyekundu tatu katika mechi zao 3 za mwisho dhidi ya Manchester United


150 - Frank Lampard ndio kiungo wa kwanza kufunga mabo 150 katika premier league history.


151 - Liverpool wamepoteza mchezo mmoja kati ya 151 ya mwisho ambayo walikuwa wakiongoza 2-0. (Dhidi ya QPR)


10 - Ni Papiss Demba Cisse pekee ambaye amefunga magoli mengi zaidi in 2012 kuliko Clint Dempsey. Amefunga magoli 10.


12 - Hakuna uwanja wowote ambao umeshuhudia magoli mengi ya kichwa katika premier league kuliko Loftus Road wa QPR.


15 _ David Silva amefunga goli katika premier league kwa mara ya kwanza baada ya mechi 15.


15 - Sergio Aguero amefunga magoli mengi katika uwanja wa Etihad msimu huu kuliko mchezaji yoyote akiwa na magoli 19 kati ya hayo 15 amefunga uwanja wa nyumbani.


16 - Theo Walcott amefunga au ku-assist magoli 16 katika mechi 32 za premier league msimu huu.


37 - Magoli 37 kati ya 150 ya Frank Lampard katika premier league yametokana na mikwaju ya penati.


45 - Robin Van Persie amefunga mabao 45 katika mechi 50 za premier league .


75 - Wigan wamekuwa timu ya 75 tofauti kuifunga Manchester United katika historia ya ligi kuu ya England.

No comments:

Post a Comment