Search This Blog

Thursday, April 12, 2012

CRISTIANO RONALDO AVUNJA REKODI ULAYA - AWA MCHEZAJI WA KWANZA KUFUNGA MAGOLI 40 KATIKA MISIMU 2 MFULULIZO






Ulikuwa ni usiku wa kuvunja rekodi kwa Cristiano Ronaldo !!!!!
*Cristiano amekuwa ndio mchezaji wa kwanza katika ligi kubwa nne (ITA, SPA, GER, ENG) Kufunga magoli 40 katika misimu miwili mfululizo.
 *Pia jana usiku Ronaldo aliweka rekodi ya mchezaji wa kwanza kwenye La Liga kuwahi kufunga mabao 20 katika viwanja vya ugenini.
*Pia Ronaldo amekuwa ndio mchezaji wa kwanza kufunga hat tricks saba katika msimu wa La Liga.

No comments:

Post a Comment