Search This Blog

Thursday, April 12, 2012

HEINEKAN LAUNCHED CHAMPIONS PLANET IN MASAKI - DAR ES SALAAM

Outside View of the Heineken Champions Planet in Masaki Dar es Salaam.


HEINEKEN CHAMPIONS PLANET” YAAHIDI RAHA NA MSISIMKO KWA WATEJA WAKE TANZANIA

•       “Heineken Champions Planet” inelenga kuwapa mashabiki wa Ligi ya Mabingwa ya  UEFA  burudani ya kipekee  kwa wateja wa Heineken


•       Heineken  imekuwa ikishirikiana na UEFA tangu msimu wa 2004/05 na itaendelea kuwa mfadhili mkuu wa mashindano haya hadi  mwaka wa 2014/15.


Dar es Salaam, April 11, 2012:
 Bia ya kimataifa ya Heineken leo inatangaza uzinduzi wa "Heineken Champions Planet" itakayo wapa wateja wake nafasi ya kuangalia mashindano kabambe ua Ligi ya UEFA msimo wa 2011/2012.

Uzinduzi wa “Heineken Champions Planet”  unatokana na  mafanikio makubwa ya matembezi ya kombe la Ligi  ya UEFA  uliyo dhaminiwa na Heineken hapa nchini Tanzania na Kenya kutoka Machi 23  hadi  Machi 31. Katika kipindi hiki, kombe la UEFA lilikuwa nchini Tanzania kwa siku tatu kamili, watumiaji wa Heineken pamoja na wadau wa soka waliungana pamoja kushabikia  kombe hili la kifahari.

Ligi ya mabingwa ilianzishwa na UEFA mwaka wa 1992, na  inadaiwa na wengi kama  mashindano bora katika ulimwengu wa soka. Heineken imekuwa ikihusika na mashindano hayo kama mfadhili rasmi tangu msimu wa 2005/2006. Leo hii inaendelea kuwa mfadhili mkuu wa mashindano haya hadi msimu wa 2014/2015.

“Heineken Champions Planet” inayozinduliwa siku ya leo ni jumba kubwa la kifahari iliopo mtaa  wa Oyster bay. Nyumba hii imeandaliwa kimaalum kujumuisha sebule kubwa, ikiwa na runinga mbalimbali ambapo ndio eneo kuu la kutizamia. Vilevile “Heineken Champions Planet” ina vyumba vingine vya michezo mbali mbali ambazo zimeekezwa  PS3, meza za foosball, pool tables na chumba kulicho andaliwa binafsi kwa wanahabari. Maandalizi haya yote ni kwa ajili ya  kuweza kuwaburudisha washindi mbali mbali wa Heineken na kuwapa kumbukumbu la maisha.

Meneja mkuu wa masoko Afrika mashariki, Bwana Krijin Jansen alisema “ Kama mshiriki wa muda mrefu  wa Ligi ya Mabingwa la UEFA, Heineken inaelewa kuwa msisimko uliopo katika mashindano haya unahitaji mambo mbali mbali ya kuwachangamsha wateja wao. Kwa ushirikiano mkubwa waliotuonyesha  “Heineken Champions Planet” imetekeleza miundo mbinu hii ya kipekee ili kuwaigiza mashabiki wake kwa njia thamani.

Kutokana na umaarufu wa Heineken kote duniani, bidhaa hii imezindua njia ya  kuwashirikisha
wateja katika sehemu chaguliwa za usiku nafasi ya kufuraiya mashindano ya Ligi
ya Mabingwa la UEFA msimu wa 2011/12 hadi mwishoni 19 Mei katika “Heineken Champions Planet”.

---Mwisho---





MAELEZO ZAIDI KWA WAHARIRI:

Mauzo ya Heineken yanapatikana  takribani kote duniani. Taarifa za ziada zinaweza kupatikana kupitia www.heineken.com na www.heinekeninternational.com

Ufadhili Wa Heineken Wa Ligi Ya Mabingwa la UEFA
Kombe la Ligi ya Mabingwa UEFA lilibuni ligi ya mabingwa mwaka wa 1992 tokana na kilichotambulika hapo awali kama “European Champions Clubs” na kubiniwa mwaka wa 1955. Miaka ishirini baadae, ikiwa na mashabiki bilioni 1.1, 500 wakiwa mashabiki wa kuitazama mechi moja kwa moja bara la Uropa pekee, masaa 95 kwa jumla mechi zikiwa hewani, masaa 20,000 ya mechi kurushwa moja kwa moja na usambazi katika nchi 200 duniani; Ligi ya Mabingwa UEFA imeibuka kuwa na thamana sana duniani. Hii imeifanya kuenda sambamba na kinywaji cha Heineken ambayo ni bia ya kimataifa. Ligi ya Mabingwa UEFA inapatikana takriban kote duniani. Mnamo mwaka wa 2011 mwezi Mei Heineken ilitangaza kuongeza  udhanmini wake wa Ligi ya Mabingwa UEFA kwa miaka mingine mitatu zaidi.
Furahia na Heineken Kiuangalifu

Heineken inaendelea kujumlisha mpango wake wa kueneza wateja wote kujiburudisha kiuangalifu katika  ufadhili wa Ligi ya Mabingwa ya UEFA. Katika kila uwanja ambao mechi za ligi hii hufanyika, mabango ya “Enjoy Responsibly” yanaenda sambamba pamoja na yale ya
kawaida ya Heineken. Pamoja na hilo tangazo la  FURAHIYA NA HEINEKEN KIUANGALIFU la sekunde tano hurushwa katika kila mechi zinazokadiriwa kuwa na watazamaji millioni 150 kila wiki.

Kwa Maelezo zaidi:
Koen Morshuis, General Manager, Heineken East Africa, Barua Pepe: koen.morshuis@heineken.com



The Heineken Champions Planet in Masaki Dar es Salaam.


foosball play room at the Heineken Champions Planet in Masaki Dar es Salaam.

Fully Stocked Heineken Bar at the Heineken Champions Planet in Masaki Dar es Salaam.

Guests enjoying a game of Foosball during the launch of the Heineken Champions Planet

Guests enjoying Play Station 3 (PS3) at the Heineken Champions Planet in Masaki Dar es Salaam

Guests enjoying the newly launched Heineken Champions Planet in Masaki Dar es Salaam

Guests enjoying the UEFA game at the screening room in the Heineken Champions Planet in Masaki Dar es Salaam



Play Station Room at the Heineken Champions Planet

Pool table room during the launch of the Heineken Champions Planet


View of the Pool Table room at the Heineken Champions Planet in Masaki Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment