Juventus wamekubaliana dili la kumnunua kinda aliyekataa mkataba mpya ndani ya klabu ya Manchester United Paul Pogba.
Daily Mail waliripoti mwezi uliopita kwamba Juventus walimpa ofay a mkataba wa miaka 4 kwa kinda hilo lenye miaka 18 na mfaransa anategemea kupata £20,000 kwa wiki.
Wakala wake Mino Raiola, ambaye pia anamuwakilisha Mario Balotelli, ambaye inasemekena atapata kamisheni inayokaribia kiasi cha £1.7million.
No comments:
Post a Comment