Klabu ya Simba imezidi kujikita kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya Kuifunga Klabu ya Kagera Shuga kwenye mchezo uliofanyika hivi karibuni. Wafungaji kwenye mchezo huo ni Patrick Mafisango aliyefunga mabao mawili na Emanuel Okwi kufunga goli moja.
Bao la kufutia machozi kwa Kagera lili pachikwa kimiani na Themi Felix kipindi cha Pili.
MASHABIKI WA SIMBA WAKISHANGILIA USHINDI DHIDI YA KAGERA LEO. |
No comments:
Post a Comment