Search This Blog

Thursday, March 8, 2012

HIVI NDIVYO WASEMAVYO MASTAA WA BONGO KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK


Thanks god. Jana 2mecheza mechi ye2 ya 2 ya Congo premier league na kupata ushindi mwembamba wa goli 1 ugenini dhidi ya SANGABALENDE.SANGABALENDE 0 - 1 TP MAZEMBE.mfungaji MBWANA SAMATTA.
Thanks god pia kwa kumjalia Tom ulimwengu kucheza mechi yake ya kwnza ya ligi akiwa na mazembe mungu mjalie nguvu zaidi.
 
.

  • ‎"If you can't fly then run, if you can't run then walk, if you can't walk then crawl, but whatever you do you have to keep moving forward." lengo ni moja....one love friends.

  • Samatta ni mshambualiaji anayetakiwa kuwemo katika kila mechi ambayo tunacheza iweje leo akose uzalendo......Tff wekeni mazingira mazuri kwa faida ya mpira wetu.......15,000 kama bonus au posho haileti changamoto.....mtazamo

  • 1 comment:

    1. we machupa ulipigiwa debe tena zaid ya samata,ulifanya nini? Mwachen mwalimu afanye kazi yake

      ReplyDelete