Search This Blog

Thursday, March 8, 2012


  • Planet Social Development (PSD) kwa kushirikiana na Mwanza Basketball Association (MRBA) tunaendeleza program ya kufundisha watoto tuliyoianzisha mwaka jana (2011) mwezi october hapa mwanza kwa kushirikiana kati ya PSD ya Mwanza na MAMBO BASKETBALL ya Dar es Salaam ya kufundisha watoto na vijana kujifunza mpira wa kikapu.
    Program hii inaendelea katika uwanja wa kanisa katoliki Nyakahoja kwa siku za jumatatu na jumatano kuanzia saa 9:00 alasiri na siku ya jumamosi kuanzia saa 1:45 asubuhi, wadau wale wenye kupenda watoto wao ama wadogo wao kujifunza basketball mnakaribishwa, ama kwa wale wenye skills za kufundisha basketball karibuni tuwafundishe watoto ili tuweze kuirudisha mwanza yetu katika ramani ya kikapu.
    pia kwa wale wanaoweza kusaidia program hii tunaitaji mipira kwa ajili ya mazoezi.
    karibuni wote





  • Bainasi Wamunza and 3 others like this.

  • 1 comment:

    1. pamoja tukishirikiana tutaweza kwnzi sisi ndiyo wadau wakuu wa mchezo huu

      ReplyDelete