Kwaheri AVB. |
Hatimaye klabu ya Chelsea imemtimua kocha wake Andre Villas-Boas kufuatia mfululizo wa matokeo mabaya ambayo Chelsea imekua ikiyapata msimu huu.
Kufuatia kuondoka kwa Andre Villas-Boas klabu hiyo imetangaza kupitia webiste yake, kocha msaidizi Roberto Di Matteo anachukua nafasi ya AVB mpaka mwishoni mwa msimu.
Karibu Di Matteo. |
AVB alijiunga na Chelsea miezi nane iliyopita na akimgharimu Abramovich kiasi cha paundi millioni 13 kumnyakua kutoka Porto.
No comments:
Post a Comment