Search This Blog

Sunday, February 19, 2012

TORRES ACHEZA MECHI YA 20 - AKIWA DIMBANI KWA DAKIKA 1298 BILA GOLI HUKU CHELSEA WATOKA SARE NA BIRMINGHAM CITY.


Struggles: Fernando Torres walks back to the centre circle after Birmingham's early goal
Torres akitoka nje wakati wa mapumziko lakini hakurudi baada ya nafasi yake kuchukuliwa na Drogba.
Fernando Torres sasa amecheza mechi ya 20 bila kufunga bao kwa timu yake ya Chelsea. Torres ambaye alitolewa half time na nafasi yake kuchukuliwa na Drogba – sasa ameanza kujihakikishia nafasi yake katika listi ya wachezaji ambao Chelsea walitumia pesa nyingi kuwanunua lakini wakashindwa kuperform vizuri.

This ain't working: David Luiz should really give up on his good luck charm
HATA MAOMBI YA DAVID LUIZ BADO HAYAJATOSHA KUMPA GOLI TORRES.

Katika mechi  hiyo ya kombe la FA Cup raundi ya tano dhidi ya Birmingham City, El nino amefikisha idadi ya dakika 1298 akiwa kavaa jezi ya Chelsea bila kuwa na goli.


Torres sasa anaongezeka katika listi inayowajumuisha wachezaji wengine walionunuliwa na Chelsea kwa bei mbaya lakini wakashindwa kufanya vizuri kama vile Andrain Mutu, Mateja Kezman, Andry Shevchenko na hataChris Sutton  kama worst signings of Chelsea ever.

Fernando Torres

No comments:

Post a Comment