Search This Blog

Friday, February 10, 2012

JOHN TERRY AONDOKA UINGEREZA - AENDA ZAKE URENO KUPUNGUZA STRESS.


Baada ya kuandamwa na mikosi nahodha aliyevuliwa kitambaa John Terry ameamua kuondoka England na kwenda nje ya nchi kwa mapumziko mafupi.

Mlinzi huyo wa Chelsea amepewa ruhusa ya wiki moja na Andre Villas-Boas na imefahamika ameelekea nchini Ureno na familia yake kwa ajili kupumzisha akili yake baada ya kuandamwa na msongo wa mawazo tangu avuliwe unahodha wiki iliyopita.

Terry ambaye pia ni majeruhi wa goti ataukosa mchezo wa jumamosi dhidi ya Everton.

5 comments:

  1. huyu mama aliyekua mkurugenzi wa wizara ya afya aliye pigwachini inabidi naye akapumzishe akili kama terry

    ReplyDelete
  2. ngoja nimpe pole bwana terry kwa mikosi, ila achunge domo lake next tym

    ReplyDelete
  3. Chelse inawachezaji wa kiafrica wengi tu hiweje awe m baguZi leo siku zote aliKuwa wapi. Mi naona jamaa kamsingizia, ngoja tuone kesi itakuajE

    ReplyDelete
  4. antony ferdinand ilimuuma kuona kaka yake rio alivyopokonywa unaodha ndio maana akamuundia zengwe bwana terry na bora terry astahafu kabisa hawaachie timu yao.heri wa kgambon

    ReplyDelete
  5. antony ferdinand amemsingizia vle bwana terry kwa sababu ya kaka yake rio kupokwa unaodha au 2mesahau ya alex song na etoo wa cameron.heri wa kgambon

    ReplyDelete