hv kwanini cheka ashindanishwi na mabondia wa nje ya nchi? Au autetee mkanda wake na mabondia wa viwango vya juu ili adhihirishe ubora wake? sababu mapambano yake makubwa ni uwanja wa Jamhuri au Diamond Jubilee! Mda umeshafika twatakiwa tumjue ubora wake kweli sababu hapo utaambiwa pambano lijalo dhidi ya Benson Mwakyembe
Nimewahi kushuhudia pambano moja kati ya Cheka na huyo Nyilawila lilifanyika uwanja wa Jamhuri Morogoro miaka 3-4 iliyopita.Japo sina ufahamu sana wa sheria za mchezo wa ngumi,ilikuwa ni wazi Cheka alikuwa amepoteza mchezo ule.Lakini cha ajabu na kwa mshangao wa wengi Cheka alipewa ushindi.Binafsi nilijisikia uchungu sana na nakukmbuka nilikuwa mmoja kati ya walioenda kwa Nyilawila kumpa mkono wa pongezi na kumpa pole kwa kunyang'anywa ushindi waziwazi.Nilichukia kwa sababu nililipia nikitegemea kuona mchezo wa haki.
Kwa mtazamo wangu mchezo wa boxing hapa nchini umejaa ubabaishaji mwingi na ukosefu wa tabia za kiuanamichezo yaani professionallism mfano waamuzi kupindisha sheria hata pale ambapo matokeo ya mchezo ni ya wazi km nilieleza hapo awali.
Kwa mantiki hiyo sitashangaa km Cheka akashindwa vibaya endapo atapata mapambano ya kimataifa kwa sababu kwa mtazamo wangu anakuwa overrated.
hv kwanini cheka ashindanishwi na mabondia wa nje ya nchi? Au autetee mkanda wake na mabondia wa viwango vya juu ili adhihirishe ubora wake? sababu mapambano yake makubwa ni uwanja wa Jamhuri au Diamond Jubilee! Mda umeshafika twatakiwa tumjue ubora wake kweli sababu hapo utaambiwa pambano lijalo dhidi ya Benson Mwakyembe
ReplyDeletecan u try to put a video between Fransic Cheka and Kalama Nyilawila
ReplyDeleteDuu,so Kalama kapoteza kila kitu bora angeenda kupigana ujerumani,labda alete tambo kama za Maugo ili apewe pambano la marudiano
ReplyDeletechela wa dom
Nimewahi kushuhudia pambano moja kati ya Cheka na huyo Nyilawila lilifanyika uwanja wa Jamhuri Morogoro miaka 3-4 iliyopita.Japo sina ufahamu sana wa sheria za mchezo wa ngumi,ilikuwa ni wazi Cheka alikuwa amepoteza mchezo ule.Lakini cha ajabu na kwa mshangao wa wengi Cheka alipewa ushindi.Binafsi nilijisikia uchungu sana na nakukmbuka nilikuwa mmoja kati ya walioenda kwa Nyilawila kumpa mkono wa pongezi na kumpa pole kwa kunyang'anywa ushindi waziwazi.Nilichukia kwa sababu nililipia nikitegemea kuona mchezo wa haki.
ReplyDeleteKwa mtazamo wangu mchezo wa boxing hapa nchini umejaa ubabaishaji mwingi na ukosefu wa tabia za kiuanamichezo yaani professionallism mfano waamuzi kupindisha sheria hata pale ambapo matokeo ya mchezo ni ya wazi km nilieleza hapo awali.