Search This Blog

Friday, January 13, 2012

DARRON GIBSON ASAJILIWA EVERTON.



Kiungo wa Manchester United Darron Gibson amejiunga na Everton kwa deal la mkataba wa miaka 4 na nusu.


The 24-year old Gibson amaehamia upande wa Merseyside kwa ada ya uhamisho ambayo haikutajwa, akiwa mchezaji wa pili kusajiliwa mwezi January na Everton baada ya London Donavan kutoka LA Galaxy.


Kiungo huyo ambaye ni zao la timu ya vijana ya United, alifunga mabao 10 katika michezo 60 tangu alipoingia katika kikosi cha kwanza cha United mwaka 2005.

No comments:

Post a Comment