Search This Blog

Saturday, November 19, 2011

GIGGS, ZIDANE, MESSI, GERRARD WATAJWA KAMA WACHEZAJI BORA WA HISTORIA YA CHAMPIONS LEAGUE

Welsh wizard: Giggs is the best British player to feature in the tournament

Winga wa Manchester United Ryan Giggs ametajwa kama mchezaji aliyeshika nafasi ya 6 katika listi ya wachezaji bora wa muda wote ligi ya mabingwa wa ulaya, kutokana na jarida rasmi la michuano hiyo.

The Welshman ndio muingereza aliyeshika nafasi ya juu katika listi hiyo inaundwa na wachezaji 50 ambayo Steven Gerrard nae amaeshika nafasi ya 10, huku wachezaji wengine wa United Paul Scholes na David Beckham wakiwemo katika 20 bora.

Giggs ambaye amelibeba kombe la ulaya mwaka 1999 na 2008 ndio mchezaji mwenye umri mkubwa kufunga bao katika michuano hiyo na maefunga katika misimu mingi zaidi kuliko mchezaji yoyote.

Mchezaji aliyeshika nafasi ya kwanza ni Zinedine Zidane ambaye goli lake kwa Madrid dhidi ya Bayern Leverkusen katika fainali ya 2002 litakumbukwa kama bao bora katika historia ya michuano hiyo.

Lionel Messi mshindi wa mara mbili wa kombe hilo akiwa na Barcelona, anafuatia katika nafasi ya pili, huku Paolo Maldini, Xavi na Raul - mfungaji bora anayeongoza akiwa na magoli 71 wakikamilisha top 5.

LISTI KAMILI IPO KAMA IFUATAVYO.

1. Zinedine Zidane
2. Lionel Messi
3. Paolo Maldini
4. Xavi
5. Raul
6. Ryan Giggs
7. Clarence Seedorf
8. Luis Figo
9. Samuel Eto'o
10. Steven Gerrard
11. Andres Iniesta
12. Oliver Kahn
13. Andriy Shevchenko
14. Paul Scholes
15. Javier Zanetti
16. Alessandro Del Piero
17. Iker Casillas
18. David Beckham
19. Thierry Henry
20. Ronaldo
21. Carlos Puyol
22. Edwin van der Sar
23. Andrea Pirlo
24. Didier Deschamps
25. Alessandro Nesta


26. Fernando Redondo
27. Wayne Rooney
28. Frank Rijkaard
29. Kaka
30. Cristiano Ronaldo
31. Ruud van Nistelrooy
32. Roberto Carlos
33. Marcel Desailly
34. Jari Litmanen
35. Peter Schmeichel
36. Flippo Inzaghi
37. Dejan Savicevic
38. Gaizka Mendieta
39. Roy Keane
40. Claude Makelele
41. Fernando Hierro
42. Edgar Davids
43. Gianluigi Buffon
44. Stefan Effenberg
45. Ronaldinho
46. Deco
47. Lothar Matthaus
48. Frank Lampard
49. Fernando Morientes
50. Paulo Sousa



3 comments:

  1. Viongozi wa soka la afrika lini watatutajia listi kama hiyo?hapa bongo ukitaka historia mpaka umsikilize mbwiga tena kwa dakika 5.kaka tusaidie kutuhabarisha soka la watu hapa bongo siasa mpaka mchezon.james veta mwanza

    ReplyDelete
  2. Naomba Clouds wakishirikiana na Shafii,Edo na Mbwiga(ivi uyu jamaa historia yake kisoka na kimaisha ipoje?) watuandalie historia ya soka kwa wachezaji wote na tim zote ligi drj 1 na ligi kuu ktk mtandao. Hua nafurahi sana Mbwiga anaponikumbusha enzi zile,lkn namna ya kuhifadhi stori zake ngumu - Aman Msigwa,Mwanza

    ReplyDelete
  3. hii list imewakosea heshima malegend kama Ronaldinho,Ronaldo de lema afu huez kumweka Cristiano Ronaldo nafasi ya mbali ivo.... naikubali kwa 20% tu

    ReplyDelete