Search This Blog

Wednesday, November 23, 2011

COUNTDOWN TO CECAFA CHALLENGE CUP: TIMU ZAANZA KUWASILI-FAHAMU WATAKAPOFIKIA NA WATAKAPOFANYA MAZOEZI

Timu zinazoshiriki CECAFA Tusker Challenge Cup zinaendelea kuwasili Dar es Salaam kwa ajili ya mashindano hayo yatakayoanza Novemba 25 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa.
Somali na Djibouti tayari zimeshawasili. Timu hizo zilitua nchini jana mchana kwa nyakati tofauti. Ratiba ya ujio wa timu nyingine ni kama ifuatavyo;
Team Arrival: Accommodation:
Burundi Nov 23rd 1545hrs RwandAir - Lunch Time Hotel (Ubungo)
Djibouti Nov 22nd 1320hrs Ethiopian Airlines - Wanyama Hotel (Sinza)
Ethiopia Nov 24th Ethiopian Airlines - Johannesburg Hotel (Sinza)
Kenya Nov 27th Kenya Airways - Rungwe Hotel (Kariakoo)
Malawi Nov 27th Air Malawi - Rombo Green View Hotel (Sinza)
Rwanda Nov 23rd 1545hrs RwandAir - Rungwe Hotel (Kariakoo)
Somalia Nov 22nd Kenya Airways - Wanyama Hotel (Sinza)
Sudan Nov 23rd 1320hrs Ethiopian Airlines - Marriot Hotel (Mabibo External)
Tanzania - Rainbow Hotel (Morogoro Rd)
Uganda Nov 23rd 1600hrs Air Uganda - Royal Valentino Hotel (Kariakoo)
Zanzibar Nov 23rd by boat- afternoon - Rombo Green View Hotel (Sinza)
Viwanja vya mazoezi kwa ajili ya timu zinazoshiriki michuano hiyo ni; Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (viwanja viwili), Shule ya Sekondari Loyola na Uwanja wa Karume.

1 comment:

  1. Ninasubiri kwa hamu kusikia yatakayo jiri katika CECAFA nategemea Tanzania tutaonyesha upinzani ila si kuchukua kombe hilo tena, nimewaona Kenya wakicheya kwa kweli nategemea kama wamekujana kikosi chao kamili watafika mbali kwenye mashindano haya, Uganda pia najua wanaweza fika mbali.
    All the best Kilimanjaro stars.

    ReplyDelete