Search This Blog

Wednesday, November 23, 2011

MASHABIKI WA ARSENAL, MSAADA TUTANI HUYU NI NANI?

19 comments:

  1. Vanpersie a.k.a van magoli no kuuliza mimi chela wa DOdoma

    ReplyDelete
  2. huyo Robin van Persie [van magoli]

    ReplyDelete
  3. VAN PERSIE Z ARSENAL LEGEND

    ReplyDelete
  4. Huyo ndo shujaa wao aliebakia rvp am iddi man u fans

    ReplyDelete
  5. Mholanzi-Robin van persieMholanzi-Robin van persie

    ReplyDelete
  6. VAN CAPTAIN,VAN MAGOLI,GOAL MACHINE.

    ReplyDelete
  7. Van persie au van poison

    ReplyDelete
  8. Kaka Saffih huyo ni Van persie ila kinachonishangaza mbona hapo alikuwa bwa mdogo na tayari yuko ndani ya uzi wa Arsenal kwani Van persie amesajiliwa lini arsenal jamani

    ReplyDelete
  9. Huyo Ni Robin Van Persie

    ReplyDelete
  10. Huyo ni robin van goal persie machine ya kiholanzi ambaye leo tena anaendeleza ukali wake kwenye uefa. From dick mkali Gunners 4 life mtoni kwa aziz ally

    ReplyDelete
  11. Bila shaka huyo ni mdutch VAN GOOOAL akishow luv kwa gunners toka long time kitambo!!

    ReplyDelete
  12. huyo ni robin van persie

    ReplyDelete
  13. Huyo ni Robin van Persie, wakati huo alikuwa katika Academy ya Feyernoord akiwa amevaa jezi ya Denis Bergkamp mpachika mabao wa Arsenal wa wakati huo ambaye ndiye aliyekuja kumrithi

    ReplyDelete
  14. HUYU NI "HAKUNAGA" RVP..

    ReplyDelete
  15. kama kawaida ni van magoli a.k.a Hakunaga akiwa na ndoto ya kuichezea arsenal

    ReplyDelete