Search This Blog

Friday, September 23, 2011

WADAU PROJECT YA UWANJA WA SIMBA IMEFIKIA WAPI ?













2 comments:

  1. Zilikuwa kampeni za uchaguzi tu.

    ReplyDelete
  2. Achana na Rage, uongo wake kung'amua kazi sana. Inataka mtu mwenye akili sana kumtambua. Lile kundi lilofanya vurugu soka la Bongo enzi zile za miaka ya 90 wote wamepotea kwenye ramani amebaki yeye tu. Huyu jamaa mbuyu.Anajua MJINI MIPANGO. Huyu jamaa bingwa wa mipango. Na ndio wabongo wa simba wanapenda.hahaha yana mwisho.
    Mdau wa Magu

    ReplyDelete