Search This Blog

Saturday, September 10, 2011

ROONEY NA CHICHARITO WAPELEKA MSIBA BOLTON



Manchester United imeendelea kutoa dozi nzito katika ligi kuu ya England baada ya kuwakandamiza Bolton kwa mabao matano kwa bila.

Shukrani ziwaendee Javier Hernandez aliyefunga mabao mawili na Wayne Rooney aliyefunga matatu, na kumfanya kufikisha hat tricks ya saba tangu aanze kucheza soka la ushindani kwa ngazi ya klabu.

No comments:

Post a Comment