Mshambuliaji mpya wa Simba toka Afriika ya Kati, Gervais Kago ameruhusiwa kucheza mchezo wa ngao ya jamii hapo kesho dhidi ya Yanga,
''Ni kweli Kago atacheza mchezo wa kesho, kwasababu ni mchezo wa ngao ya jamii anaweza kucheza, hata msimu uliopita Yanga ilimtumia mshambuliaji Ken Asamoah akiwa hajamalizia taratibu za usajili wake'' -MKURUGENZI WA UTAWALA WA TFF-RAMADHANI MTEMI.

Hawa watu wa TFF hakika ni wababaishaji sana nasidhani kwa stahili hii soka la nchi hii litakuwa la kisasa.Kwani walipotangaza mwanzoni kuwa hatacheza hawakujuwa wanasema nini?Viongozi wa namna hii hawafai kwani ni dhahiri hawana uwezo.Hata maantiki ya kumzuia Kago asivae uzi mwekundu kwenye ligi ya Vodacom mimi siioni.Nachokiona ni mizengwe kuzunguka soka la Tanzania.
ReplyDeleteTena wanoambiwa ukweli wanakuwa wakali sana.
ReplyDelete