Search This Blog

Tuesday, August 16, 2011

JE WAJUA ?

Mchezaji wa kwanza kuhama Yanga kwenda Simba, alikuwa ni Mambo Mzinga na siku aliyohama ilikuwa ni kama msiba mitaa ile ya Mafia na Sukuma.

No comments:

Post a Comment