Search This Blog

Saturday, July 23, 2011

TIMU YA TAIFA IKIFANYA VIZURI PIA WACHEZAJI WA TANZANIA WATAPATA SOKO-NTEZE JOHN

Nteze John akikabidhiwa jarida la NUMBER10,atakuwa akitumiwa copy kila likitoka ili apate kufahamu habari za soka za nyumbani Tanzania.


Hapa ilikuwa ni baada ya kumaliza mahojiano maalum ambayo pia utayasikia kupitia Clouds Fm na Clouds TV kwenye vipindi vyake vya michezo,kulia kabisa ni 'kamanda' Abdulamin Dola huyu ni Mtanzania anayeishi hapa Seattle amenipa sana tough kwenye kushika kamera...



Mpira hauwezi kuendelea kama hawatapatikana viongozi wenye utaalamu wa kutosha wa mambo ya utawala wa soka....




Mpira niliupenda sana nikiwa kama mchezaji na ntaendelea kuupenda nikiwa kama shabiki wa kawaida ila sitegemei kurejea kwenye mpira nikiwa kama kocha
....





No comments:

Post a Comment