Search This Blog

Saturday, July 23, 2011

NILIPOPATA FURSA YA KUTEMBELEA OFISI ZINAZOZIENDESHA TIMU ZA SEATTLE SEAHAWKS NA SOUNDERS.

Hapa nikikabidhiwa jezi ya SEATTLE SOUNDERS na makamu wa raisi wa timu za SEAHAWKS na SOUNDERS Mr Lance Lopes kwenye ofisi za timu hizo.

Mrisho Ngassa amefanya vizuri sana kuanzia kwenye mazoezi na kwenye mechi dhidi ya Manchester UTD- LANCE LOPES

Hapa Lance Lopes akinieza namna ambavyo sekta ya michezo inavyotengeneza pesa hapa Nchini Marekani.





hapa ilikuwa ni baada ya Lance Lopes kumaliza kunifanyia Tour ya ofisi yao.







No comments:

Post a Comment