Search This Blog

Thursday, July 21, 2011

OFA YA PAUNDI MILLLION 10 YA ARSENAL KWA JAGIELKA YAKATALIWA

Everton wameonekana kuendelea kumng'aninia beki wao kati Phil Jagielka anayetakiwa na Arsena Wenger.


The Gunners walituma ofa ya paundi million 10 ili kuweza kumvuta Jagielka ndani ya Emirates lakini ilikataliwa na The Toffes.

Kwa mujibu wa Press Association ofa hiyo iilikuwa pungufu ya paundi million 2 kwa kiasi walichohitaji Everton.

Everton ambao mpaka sasa hawajafanya usajili wa mchezaji yoyote wanasemekana sasa wanampa thamani ya paundi millioni 20 Jagielka ili kuweka ugumu wa usajili kwa timu zinazomtaka beki huyo.





No comments:

Post a Comment