Search This Blog

Friday, July 15, 2011

NDOLLO AKATWA USAJILI YANGA


Klabu ya Yanga leo imemaliza utata katika usajili wa wachezaji watano wa kigeni baada ya kutangaza majina ya wachezaji watakaoingia katika usajili rasmi wa klabu hiyo.

Majina ya wachezaji hao ni kama ifuatavyo:

1: Kenneth Asamoah

2: Haruna Niyonzima

3: Hamis Kiiza

4: Yew Berko

5: Davis Mwape


Wakati huo huo klabu hiyo ya Yanga imemtoa kwa mkopo mchezaji Idd Mbaga kwa klabu ya African Lyon inayoshiriki katika ligi kuu ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment