Search This Blog

Monday, July 25, 2011

HATIMAYE SASA NAAMINI NIMEFAULU MAJARIBIO YA KUJIUNGA NA SEATTLE SOUNDERS-MRISHO NGASSA

'' Mara tu baada ya mazoezi kabla ya timu kuelekea nchini Panama,kocha mkuu wa Sounders bwana Sigi Schmid aliniita na kufanya naye mazungumzo ya takribani dakika kama 20 hivi,
kimsingi alikuwa ananiuliza maswali mbali mbali, mfano aliniuliza kama nipo tayari kuichezea SEATTLE SOUNDERS pi akaniuliza kama ningefurahia kuishi hapa SEATTLE ,namimi nilimjibu kuwa nipo tayari ,
basi baada ya hapo akaanza kunielezea namna nilivyofanya vizuri kwenye majaribio na angependa niichezee Sounders,
mwisho kabisa akaniambia kwakuwa muda wangu wa majaribio umekwisha sina budu kurejea nyumbani taratibu husika zifanyike ili niweze lurejea hapa mapema mwezi december kwa ajili ya kujiunga na timu moja kwa moja ''- MRISHO NGASSA

2 comments:

  1. WWWOWOWOOWOWOWOOWOWOO!!!!!!!!!!!!!
    CONGRATULATIONS MRISHO NGASSA!!!!!!!!! CONGRATULATIONS TANZANIA!!!!!!!!!!! AND
    SUPER CONGRATULATIONS TO OUR SHAFFIH K DAUDA!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. I believe in you Ngassa.Huna yofauti na mafowadi wanaotisha huko ulaya.Wewe hujaonekana tu.Wawaulize wakameruni uliowasumbua Dar es Salaam mpaka wakakupangia mkakati wa nguvu kwenye mechi ua marudiano.Nakuamini.MUNGU MBARIKI NGASSA MUNGU IBARIKI TANZANIA.Am Carlos Ntangeki

    ReplyDelete