Search This Blog

Saturday, July 9, 2011

EXCLUSIVE: MWINYI KAZIMOTO ASAJILIWA RASMI SIMBA

KAZIMOTO AKIWA RAISI KIKWETE-IKULU


Kiungo wa kimataifa wa Tanzania aliyekuwa anaitumikia klabu ya JKT Ruvu msimu uliopita Mwinyi Kazimoto amekamilisha rasmi taratibu za uhamisho wake wa kujiunga klabu bingwa ya kihistoria ya Cecafa Kagame Castle Cup-Simba Sports Club.

Kukamilika kwa usajili wa mchezaji huyu ambaye amekuwa kwenye rada za Msimbazi kwa takribani miaka miwili kunamaanisha mchezaji kwa sasa ana uhalali wa kuitumikia Simba kuanzia katika mechi ya Fainali ya Kagame Cup dhidi ya Yanga na kuendelea.

1 comment:

  1. Timu za jeshi hazi nufurahishi pale zinapoweka ngumu kwa wachezaji wanaotaka kuzihama timu! km vipi TFF iwawekee sheria za kutowassajili wachezaji wa kiraia na badala yake wasajili wanajeshi pekeyake.
    Othman M. Ntalaruka yombo vituka dsm.

    ReplyDelete