Search This Blog

Wednesday, July 13, 2011

DAVID GILL AKUTANA NA INTER MILAN FOR SNEIJDER



Maofisa wa juu wa Manchester United jana usiku walikuwa karibu katika ku-finalise uhamisho wa £35million wa Wesley Sneijder kutoka Inter Milan.

United Chief Executive David Gill alikuwa akiongea na wawakilishi wa mchezaji na Inter Milan na mazungumzo yalikuwa yakienda vizuri kuelekea hatua za mwisho za kumsajili mdachi huyo.

Gill ambaye hakuwemo katika msafara wa United kuelekea US, akibaki England kukamilisha mazungumzo ya kukamilisha uhamishi huo utakaokuwa ni rekodi ya klabu.

Ikiwa United watafanikiwa kumpata Sneijder, usajili wa Manchester utakuwa umetumia zaidi £85million kwa wachezaji wanne ambao ni Phil Jones, Ashley Young, golikipa David De Gea.

No comments:

Post a Comment